pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
[emoji23][emoji23]Eti Zuhura Naye Ni Megastar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Eti Zuhura Naye Ni Megastar
Joan ndo umeninyima ile ishu?Magari 5 ndio convoy?hebu tuache
Aaah nakunyimaje dhambi bwana,motoni tuwe wengi....ni nyanda za juu kusini huko utaenda?Joan ndo umeninyima ile ishu?
Ntaenda sweet, njoo tu mpnz pm unielekeze vizur nakuomba..niko mkao kusafiri.Aaah nakunyimaje dhambi bwana,motoni tuwe wengi....ni nyanda za juu kusini huko utaenda?
Ni wasanii wa kizazi kipya, baada ya kizazi cha Binti machozi,Ray C, Banana Zoro, TID, Q Chilla ndiyo wamekuja hawa. Ni waburudishaji kweli kweli vijana wanawapenda, Wanasiasa WANAWATUMIA.Ndio kina nani hao huko dar?!
Tafadhari Mkuu! Sio mambo yangu hayo.Maisha ya mitandaoni, Mambo ya Ngoswe.
Wenyeviti wapya wa vitongoji.Ndio kina nani hao huko dar?!
Kwani convoy inatakiwa kuanzia magari mangapi afsa?Magari 5 ndio convoy?hebu tuache
Yan fukara anakomesha mafukara ? [emoji23][emoji23]
*****, mmeshawaona wenye hela nyie mamburula...unanunua gari copy ya RR unasema una hela..
Na lugumi tusemeje sasa
I'm here to confirm that yesMagari 5 ndio convoy?hebu tuache
🤣🤣🤣There's no greater punishment than jealous. Wengi wao chuki zimewajaa kwasababu hela yote wamenunua bando lakini hawana hata uhakika wa lunch wakiamka kesho.
Sio kulazimisha Standard Mkuu, ni ku maintain standard.
Zuchu anashida gani mbona amevaa nguo iliochanika .
SAsa domo na babu tale kwa pidido walifuata nini mpaka wakaitwa chumbani kwa pidido? 😃Tafuta pesa ili upunguze chuki kwa waliokuzidi! Ni ujinga kudhani kila aliyeenda kwa P Diddy basi kafirwa na P Diddy! Kwanza ungekuwa umefuatilia issue nzima ungefahamu ule ushenzi ulikuwa unafanyika kwenye private parties!! Na zile private parties zilikuwa zinahusisha watu maarufu na hadi Vigogo!! Sasa hivi kwa akili yako unadhani sehemu kama hiyo ataruhusiwa mgeni ambae hawamfahamu?! Ikiwa P Diddy na Mafirauni wenzake wamefanya ule ushenzi kwa miaka nenda rudi bila siri kutoka nje maana yake ni kwamba walikuwa wanafanya kwa usiri mkubwa! Sasa usiri utatoka wapi kama utaruhusu hata walk-in guests?!
Dada Convoy yako unatembelea mangapi?Magari 5 ndio convoy?hebu tuache
Money talkHii ni Convoy ya Super Megarstar, Diamond Platnumz na Zuchu akitua Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, wakati wakielekea kwenye show kwa mashemeji zetu nchini Kenya.
View attachment 3170717View attachment 3170718View attachment 3170719View attachment 3170720
View attachment 3170721
View attachment 3170726
Sasa mkuu analazimisha vipi wakati ndio maisha yakewanachofanya wao ni kulazimisha, mana mantain ni ile hali ambayo unamuda bila ya shida, wao hua wanatumia nguvu nyingi sana