MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
July 27 avute mshahara kama kawaida huku akilamba asali 🍯 (pensheni) ya jasho lake.sasa kuzunguka kote kula kutanganza na kuaga anastaafu alaf june 1 unaanza mkataba mpya inakuaje hii.. calculated Moves huh?
Anaendelea kuramba?Mwenyekiti wa bodi ni post ambayo ni ceremonial tu snafanya kazi ya kuongoza vikao vya bodi vinavyokaa mara chache tu kwa mwaka na kutoa ushauri tu ile siyo ajira rasmi ingawa posho yake ni ndefu
Which method? Straight line, or?Hivi unajua kwamba kuna magari mengi barabarani ambayo book values zake, kwa kutumia kanuni za kihasibu, ni zero? Kwanini hatuyaweki juu ya mawe?
Sasa na mm nimekubali tunahitaji katiba mpya, ukweli kungekikuwa na katiba thabiti na Miata inayo weka ukomo wa mambo ya uteuzi haya leo yasinge tokea
Which method? Straight line, or?
Hadi hapo kifo kitakapotutenganisha!😃Bongo kustaafu ina namna nyingine kabisa
Ova
Duh......Vikao vya kisheria vinafanyika mara 4 kwa mwaka lakini wanaruhusiwa kuongeza vikao 2 jumla 6, posho yake sasa ni hatari tupu kila kikao hakosi 5M
Mambo ya Ulaya hayo, huku sisi hatuyawezi kwa sababu mtu tuseme anaagiza gari kutoka Japan ambayo ni ya mwaka 2012; na ambayo tayari pia BV yake ni zero, na possibly negative. Your suggestion can only work in a situation/ country where the law necessarily requires every individual citzen, to buy a brand new car/ vehicleIt doesn’t matter!
Ndiyo maana tukaitwa wanyonge wanatunyonga haswaDuh......
Kama hivyo, wacha wanyonge tuendelee kukamuliwa kwa tozo!🥺
Mbona povu sana jamani?nchi hii kustaafu kwa lazima kisheria ni miaka 65,bungeni kuna wabunge wenye umri zaidi ya huo,Mabeyo sio wa kwanza,wapo wengi tu wakimaliza "utumishi wa umma"wanapewa kazi nyingine,ambazo sio "ajira"maana hazina pesnheni,uRC,UDC.Kitu kingine usilinganishe mtu wa cheo Cha CDF,na Mwalimu,au dereva,au hakimu ambao wote wamestaafu kisheria.Mtu wa kaliba ya CDF,ana Mengi ya kuchangia kwenye nchi nje ya jeshi.Mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha Jenerali Mkunda kasema Jenerali Mstaafu Mabeyo ataendelea kumteua ktk majukumu mengine, na akasema leo hii Katibu Mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine.
Je, ipi maana ya kustaafu ?
Wanaostaafu ni Viongozi tu, kwa watawala hakuna kustaafu.Mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha Jenerali Mkunda kasema Jenerali Mstaafu Mabeyo ataendelea kumteua ktk majukumu mengine, na akasema leo hii Katibu Mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine.
Je, ipi maana ya kustaafu ?
Alishamteua siku hiyo hiyoMkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha Jenerali Mkunda kasema Jenerali Mstaafu Mabeyo ataendelea kumteua ktk majukumu mengine, na akasema leo hii Katibu Mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine.
Je, ipi maana ya kustaafu ?
siyo kweli,kuna vitu katiba itavitolea mwongozo.Mnajua maana ya katiba au mnaropoka tu? Mlivyo weupe kichwani mnadhani katiba itaandika Hadi style za au
Mambo ya Ulaya hayo, huku sisi hatuyawezi kwa sababu mtu tuseme anaagiza gari kutoka Japan ambayo ni ya mwaka 2012; na ambayo tayari pia BV yake ni zero, na possibly negative. Your suggestion can only work in a situation/ country where the law necessarily requires every individual citzen, to buy a brand new car/ vehicle
Haya yanayotokea ni kuwa raisi ana practise exessive power aliyopewa na katiba na hakuna wa kumuwajibisha ,Mnajua maana ya katiba au mnaropoka tu? Mlivyo weupe kichwani mnadhani katiba itaandika Hadi style za au basi.