Hii ndiyo maana ya kustaafu?

Hii ndiyo maana ya kustaafu?

Mwenyekiti wa bodi ni post ambayo ni ceremonial tu snafanya kazi ya kuongoza vikao vya bodi vinavyokaa mara chache tu kwa mwaka na kutoa ushauri tu ile siyo ajira rasmi ingawa posho yake ni ndefu
Anaendelea kuramba?
 
Hizi ndio kazi zao hawa wastaafu.

Mwenyekiti wa bodi hii na ile

Wanakula posho za vikao hao wanasepa kwao na vibunda.
 
Sasa na mm nimekubali tunahitaji katiba mpya, ukweli kungekikuwa na katiba thabiti na Miata inayo weka ukomo wa mambo ya uteuzi haya leo yasinge tokea

Mnajua maana ya katiba au mnaropoka tu? Mlivyo weupe kichwani mnadhani katiba itaandika Hadi style za au basi.
 
Nchi inaongozwa na Mapaka👇😁😁😁
AEb8rs.jpeg
16525976734300.jpg
ummY_jc.jpg
 
Vikao vya kisheria vinafanyika mara 4 kwa mwaka lakini wanaruhusiwa kuongeza vikao 2 jumla 6, posho yake sasa ni hatari tupu kila kikao hakosi 5M
Duh......
Kama hivyo, wacha wanyonge tuendelee kukamuliwa kwa tozo!🥺
 
It doesn’t matter!
Mambo ya Ulaya hayo, huku sisi hatuyawezi kwa sababu mtu tuseme anaagiza gari kutoka Japan ambayo ni ya mwaka 2012; na ambayo tayari pia BV yake ni zero, na possibly negative. Your suggestion can only work in a situation/ country where the law necessarily requires every individual citzen, to buy a brand new car/ vehicle
 
Mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha Jenerali Mkunda kasema Jenerali Mstaafu Mabeyo ataendelea kumteua ktk majukumu mengine, na akasema leo hii Katibu Mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine.

Je, ipi maana ya kustaafu ?
Mbona povu sana jamani?nchi hii kustaafu kwa lazima kisheria ni miaka 65,bungeni kuna wabunge wenye umri zaidi ya huo,Mabeyo sio wa kwanza,wapo wengi tu wakimaliza "utumishi wa umma"wanapewa kazi nyingine,ambazo sio "ajira"maana hazina pesnheni,uRC,UDC.Kitu kingine usilinganishe mtu wa cheo Cha CDF,na Mwalimu,au dereva,au hakimu ambao wote wamestaafu kisheria.Mtu wa kaliba ya CDF,ana Mengi ya kuchangia kwenye nchi nje ya jeshi.
Hii inafanyika duniani kote,
Defence secretary wa USA,alikuwa kamanda wa majeshi huko Iraq,akastaafu,Biden alipoingia Madarakani akamteua awe waziri.
CDF sio Mwalimu wa shule ya msingi au upili,sio dereva wa halmashauri Wala ofisa kilimo.
 
Mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha Jenerali Mkunda kasema Jenerali Mstaafu Mabeyo ataendelea kumteua ktk majukumu mengine, na akasema leo hii Katibu Mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine.

Je, ipi maana ya kustaafu ?
Wanaostaafu ni Viongozi tu, kwa watawala hakuna kustaafu.
Sasa sijui huyu Kama kapandishwa cheo au kashushwa!
 
Mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha Jenerali Mkunda kasema Jenerali Mstaafu Mabeyo ataendelea kumteua ktk majukumu mengine, na akasema leo hii Katibu Mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine.

Je, ipi maana ya kustaafu ?
Alishamteua siku hiyo hiyo
 
Mnajua maana ya katiba au mnaropoka tu? Mlivyo weupe kichwani mnadhani katiba itaandika Hadi style za au
siyo kweli,kuna vitu katiba itavitolea mwongozo.
 
Haya majizi mpaka yatakapoondoka madarakani ndio hiyo kauli itakuwa na maana.
 
Mambo ya Ulaya hayo, huku sisi hatuyawezi kwa sababu mtu tuseme anaagiza gari kutoka Japan ambayo ni ya mwaka 2012; na ambayo tayari pia BV yake ni zero, na possibly negative. Your suggestion can only work in a situation/ country where the law necessarily requires every individual citzen, to buy a brand new car/ vehicle

Hoja yangu umeitoa nje ya context. Ilikuwa analogy iliyokusudia kutoa ujumbe kwamba watu wanastaafu kwa sababu sheria inawataka kufanya hivyo; haina maana kwamba they’re no longer useful resources.
 
Mnajua maana ya katiba au mnaropoka tu? Mlivyo weupe kichwani mnadhani katiba itaandika Hadi style za au basi.
Haya yanayotokea ni kuwa raisi ana practise exessive power aliyopewa na katiba na hakuna wa kumuwajibisha ,
Kama uliwahi kusikia moja ya pendekezo la katiba mpya hi kupunguza mamlaka ya raisi pamoja na kumjwajibisha in case akikiuka katiba ,

Tunayoya ona Kenya sasa yanashangaza Jaluo na kikiyu kukaa meza moja, Uhuru anajua kwa katiba waliyonayo akisndelea kumkumbatia Ruto anajiweka red zone
 
Back
Top Bottom