Hii ndiyo maana ya kustaafu?


Uhuru na Ruto hawapatani toka kitambo it has nothing to do with katiba. Mitanganyika mnasifia kila kitu Cha Kenya hata upumbavu.

Mitanganyika mnasifia Nairobi kuliko London. Mkienda mnarudi mmevaa culture za Kenya mwili mzima mnajikuta nyie wakenya pia ndo maana wakenya look down on you sababu mnawashobokea sana.
 

Ng’ambo nyingine ya mto mara nyingi huonekana kuwa ya kijani zaidi. Ukihamishia ng’ombe wako huko ndiyo utaijua hali halisi.
 
Ng’ambo nyingine ya mto mara nyingi huonekana kuwa kijani zaidi. Ukihamishia ng’ombe wako huko ndiyo utaijua hali halisi.

Exactly. Mitanganyika ni watumwa wa mikenya Hadi aibu.

Mitanganyika inasifia chochote kile Cha Kenya hata upumbavu wa mwisho wao wanasifia tu meanwhile mkenya hawezi Sifia chochote kile cha TZ hata kiwe kizuri vp.

Angalia wabongo wanavyovaa culture za Kenya ushangae afu tafuta mkenya hata mmoja aliyevaa culture ya TZ if there's any.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…