Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Haya yanayotokea ni kuwa raisi ana practise exessive power aliyopewa na katiba na hakuna wa kumuwajibisha ,
Kama uliwahi kusikia moja ya pendekezo la katiba mpya hi kupunguza mamlaka ya raisi pamoja na kumjwajibisha in case akikiuka katiba ,
Tunayoya ona Kenya sasa yanashangaza Jaluo na kikiyu kukaa meza moja, Uhuru anajua kwa katiba waliyonayo akisndelea kumkumbatia Ruto anajiweka red zone
Uhuru na Ruto hawapatani toka kitambo it has nothing to do with katiba. Mitanganyika mnasifia kila kitu Cha Kenya hata upumbavu.
Mitanganyika mnasifia Nairobi kuliko London. Mkienda mnarudi mmevaa culture za Kenya mwili mzima mnajikuta nyie wakenya pia ndo maana wakenya look down on you sababu mnawashobokea sana.