Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Vivulana vya Dar wanatumia sana lakini sisi wanaume wa mkoiani hatuwezi tumia ujinga huo Mimi nusu ya dona mchicha mafungu 5 karanga bakuri 1 asali kikombe 1 dushe lina simama kama mnala wa Paris
 
Kama asilimia kubwa ya watu kutumia sana hii vumbi ya kongo upo uwezekano mkubwa sana huko mbeleni ndoa nyingi sana zitakufa
 
Mkuu nashangaa sana watu wanaotumia hii kitu binafsi nashukuru mungu sijawai hata kuziona nasikia tu kwa watu nikipata show nasimamia vzuri tu isitoshe unatumia vumbi hili umkomoe demu kwani umeambiwa kufanya mapenzi ni vita au ni jambo la staree
Mzee hakuna madhara yeyote ila kuna mwanangu halishatumia kama mwezi hivi hadi leo Neno kudinda analisikia kwenye redio ha ha noma


"Haters watasema sana"
 
😂😂😂😂😂😂utamu NEHI dushe kama plastic 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
hiyo vumbi ina madhara sana Mkuu na kuna nchi kama Zambia na Malawi zinachukuliwa kama bidhaa haramu kama bangi, hata jeshini hazitakiwi kuonekana

Mtafute yeyote aliyetumia kwa miaka miwili tu au hata mmoja na nusu

Mimi nimeifahamu Puturu mwaka 2008, na kuna ndugu yangu anaendaga Kongo alikuwa anakuja nayo anawapa Bure baadhi ya washkaji chuoni na home ilikuwepo ya kutosha tu.

Yeye alikuwa anapaka kwny uume akiwa amemix na mafuta ya vaseline

Wenzake wengi Leo hii hawasimamishi at all na wanahudhuria mahospitalini

KWA KUKUSAIDIA :

Kama unataka dawa nenda Ngaramtoni au simanjiro umasaini siku ya mnada wamasai wakupe yakwao isiyo na madhara kabisa inaitwa MORAN ila wanauza mpaka elfu 40, achana na hizi wanazotembeza

Watakuambia tu ule chakula vizuri ushibe halafu watakupa kidogo tu ya kumix kwenye Supu au chai ya rangi.

Hii Nina hakika haina madhara ila uume utasimama muda mrefu hadi utamwonea huruma mwanamke, labda kama unao zaidi ya mmoja.

Unakuta mmasai anapotea nyumbani hata miaezi 6 ila akija kumlala mke wake yaani kesho asubuhi wanakuja wamama kumkanda Huyo mwanamke na mafuta kwasababu unakuta usiku mzima alishughulikiwa. Siku Mume akija yaani anaumwa kabisa na asipokuja ndio furaha yake.
 
Origin itabaki kuwa juu kileleni hata kama ntakojoa baada ya dakika 20 but I feel it all
 
Ni ujinga kudhani kwamba unaweza kumkomoa mwanamke. We jiridhishe mwenyewe kisha sepa
 
mwishi wa siku mtaishia kuwa mashoga .... jizo mashine zenu hazitokuja fanya kazi na kuanza kuwashwa hivo vinyeo vyenu. pumbafuuu
 
Naskia kuna inayoitwa UJANA imethibitishwa na serikali sijui inafanyaje kazi
 
Mkuu kwa masaa yote hayo unamkwangua tu.wala halal amini au?ulikuwa na uhalali wa kutumia Hilo vumbi na ungeongeza na mchanga tu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…