Kumeibuka na hi kitu maarufu Kama VUMBI LA Kongo miongoni mwa wangonokaji nchini petu...Natamani kujua faida na hasara ya dawa hizi....maana wengi husema hazina madhara....Niliwahi kukutana na Dereva mmoja akanambia ukikamatwa na dawa hizi ukipita nazo Zambia ni kosa kubwa Sana kisheria (wenzetu Hawa wamegundua nn mpaka kuikataza?) Lakin nilikutana na mdau mwingine akanambia Mara nyingi huko Congo hutumika na watu wenye kisukari (Diabetes) ...ijulikane kwamba dawa hizi hazijasajiliwa na TFDA...Naomba tujadiliane kwa wale wenye uelewa....Nini faida na madhara ya hi kitu....Naomba kuwakilisha na kuwatakia uchangiaji mwema...tupate elimu
hiyo vumbi ina madhara sana Mkuu na kuna nchi kama Zambia na Malawi zinachukuliwa kama bidhaa haramu kama bangi, hata jeshini hazitakiwi kuonekana
Mtafute yeyote aliyetumia kwa miaka miwili tu au hata mmoja na nusu
Mimi nimeifahamu Puturu mwaka 2008, na kuna ndugu yangu anaendaga Kongo alikuwa anakuja nayo anawapa Bure baadhi ya washkaji chuoni na home ilikuwepo ya kutosha tu.
Yeye alikuwa anapaka kwny uume akiwa amemix na mafuta ya vaseline
Wenzake wengi Leo hii hawasimamishi at all na wanahudhuria mahospitalini
KWA KUKUSAIDIA :
Kama unataka dawa nenda Ngaramtoni au simanjiro umasaini siku ya mnada wamasai wakupe yakwao isiyo na madhara kabisa inaitwa MORAN ila wanauza mpaka elfu 40, achana na hizi wanazotembeza
Watakuambia tu ule chakula vizuri ushibe halafu watakupa kidogo tu ya kumix kwenye Supu au chai ya rangi.
Hii Nina hakika haina madhara ila uume utasimama muda mrefu hadi utamwonea huruma mwanamke, labda kama unao zaidi ya mmoja.
Unakuta mmasai anapotea nyumbani hata miaezi 6 ila akija kumlala mke wake yaani kesho asubuhi wanakuja wamama kumkanda Huyo mwanamke na mafuta kwasababu unakuta usiku mzima alishughulikiwa. Siku Mume akija yaani anaumwa kabisa na asipokuja ndio furaha yake.