Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Wengi wanaokurupuka kuitumia hawajui kama ina madhara. Mie kuna jamaa yangu ni dereva anafahamu madhara yake. Ila bado anakomaa kuitumia kwa kusema yeye kashapata watoto so hana shida hata ikimletea madhara mbeleni
 
Yaani kwa uchovu wote huo wa wa saa kumi na mbili jioni hadi saa tano usiku umempa elf 20 tuu!!!!!!

Money is not everything but that's not fair.... Japo pia hakuwa anauza.

Anyways am not concerned.
Naunga mkono hoja
 
Vumbi fresh kabisa hilo vijana,endeleeni tu.
Ukitaka nakupa bureee.
Ni suala la kukuchitea tu kwnye zoleo,paka hata machoni
 
Hapo baadae wanaume mtashidwa kusimamisha kabisa mbona zamani wanaume walikuwa hawatumii na walikuwa vzuri, sikuhizi madawa kila corner ila ndo wengi majogoo hayapandi mtungi
Nani kakudanganya walikuwa hawatumii? tena matumizi zamani yalikuwa makubwa kuliko sasa. Machifu na wazee walikuwa wanatumia mizizi maalumu kwa siri kubwa na iliwawezesha kuwahudumia wanawake zaidi ya 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…