Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Mkuu kosa lako ulofanya ni kutumia muda mrefu bila ya kuosha dawa. Inatakiwa isizidi lisaa limoja.
Na haitakiwi upake mpaka nyinginyi igandane. Unapaka kistaa tu kazi ataiona na wazungubwatakuja tu.

Hebu fafanua hapo zaidi
 
Hinge kwa kua mtumiaji wa western union
 
Iyo bei walikupiga sana kwa kifupi siyo nzuri mana kma haukuwa makini kwenye kulipaka ata show yenyeweee unaweza usipige ukawa kma msenge mbele ya manzi mana mashine
Kwann mkuu. Nielekeze namna ya kupaka aisee
 
Mkuuu kama una bidhaa zako we uza kiistarab tu kwenye forum husika sio hizi stori za abunuasi....hamna mwanamke anaefurahia tendo zaidi ya lisaa limoja hehehhe huyo sio mwanamke labda changudoa mkuu tena masaa mawili utaongezewa bei. Ikifika nusu saa ni lazima akauke labda kama mlikuwa mnapumzika ila kwa hii stori kwa kweli walishe vijana wenzako
 
Ulimsaliti mshkaji wako man
 
Ila kiukweli mazoezi yana saidia mno halafu na kula balance diet na hata ukila tu punje za garlic mbili kila siku utaona mabadiliko makubwa sana kwenye sex drive

Na mazoezi nayo yaambatane na kupungua kwa uzito kwa una uzito usiolingana na urefu wako yani una BMI yako iwe normal

Mazoezi at least one hour siku tano kwa week.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wa Mwakaleli huku hatujisumbui na hayo madawa yenu lakini wanaelewaga show! Kwa hiyo uka ahirisha hata safari ya kwenda China?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punje kumi mkuu nyingi sana unaweza ukashusha sana pressure ya damu halafu ikawa tatizo tena

Recommendation kutoka kwa wataalamu wa afya ni punje 2 mpaka 3 za kitunguu swaumu kwa siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumeibuka na hi kitu maarufu Kama VUMBI LA Kongo miongoni mwa wangonokaji nchini petu...Natamani kujua faida na hasara ya dawa hizi....maana wengi husema hazina madhara....Niliwahi kukutana na Dereva mmoja akanambia ukikamatwa na dawa hizi ukipita nazo Zambia ni kosa kubwa Sana kisheria (wenzetu Hawa wamegundua nn mpaka kuikataza?) Lakin nilikutana na mdau mwingine akanambia Mara nyingi huko Congo hutumika na watu wenye kisukari (Diabetes) ...ijulikane kwamba dawa hizi hazijasajiliwa na TFDA...Naomba tujadiliane kwa wale wenye uelewa....Nini faida na madhara ya hi kitu....Naomba kuwakilisha na kuwatakia uchangiaji mwema...tupate elimu
 
Mzee hakuna madhara yeyote ila kuna mwanangu halishatumia kama mwezi hivi hadi leo Neno kudinda analisikia kwenye redio ha ha noma


"Haters watasema sana"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…