Mkuu vumbi la Kongo au madawa ya nayo fanana na hayo ninkujiharibu tuu..
Kwanza Njia rahisi piga Kila siku at least maji 5lt + punje 10 za kitunguu swaumu, pili mazoezi ya kutosha asubuhi na jioni, hapa chuma haihusiki , tatu Kila unapoenda chooni kukojoa bhana mkojo huku unaachia pumzi iendelee Kama kawaida fanya hivyo siku zote ..
Ukizingatia Hilo Hapo ukija mkamata demu hata awe wa namna gani lazima akili zake ziruke ruke Kama amechanganyikiwa na Kama una roho ndogo unaweza kimbia cz show itakua Kali sana( hi na experience nayo so naijua vilivyo)
Sent using
Jamii Forums mobile app