Hii ndiyo orodha ya maamuzi ya ovyo kuwahi kufanyika Tanzania

Huwa naona aibu kwamba na wazanzibar eti ni sehemu ya nchi yetu, yaani watu legelege, watu walalamishi, wavivu na wazembe, wasiojua nini hawataki na nini wanataka, wasio na msimamo wao kupenda mahaba na kula tu basi
Endelea kuona aibu. Nyerere yeye aliona fahari kuona Wazanzibari ni sehemu ya nchi yenu. Sasa wakati ndio huu, uvunjeni lakini, narudia tena, hamtouvunja kwani muna mawazo ya kikoloni kuitawala Zanzibar. Kumbuka mkoloni ni mkoloni tu, awe Mzungu, Mwarabu au Mwafrika.
 
🤣🤣🤣 wewe ni maandazi yaani wajilaumu kwa kufanya maendeleo
Kwa hiyo which is better wakipiga hesabu na kuona pesa zimeenda kwenye miladi na kufanya Tanzania kupiga hatua kwa maendeleo kuna ubaya gani na je hayo mabilioni ya pesa wanayoiba kipi ni bora. Yaani selikari ifanye maendeleo then baadee waje kujuta hii selikari ya wapi? Ujui faida za kuamisha mji mkuu kwanza maendeleo makubwa kwa muda mchache kama wanavuofanya China,Nigeria etc ambayo wewe ndio hayo unayopinga .
Kwa hiyo huo mkoa wa pwani uliotaka wewe uwe mji mkuu ndio wangeamia bila kujenga ofisi tena kwa mkoa wa pwani nfio wangetumia gharama kubwa compared na Dodoma coz mkoa wa pwani hakuna miundombino wala ofisi za maana zenye hadhi .Na hata ingemia mkoa gani lazima cost zingetumika tu huo ukijani unaouzungumzia ndio ungeepusha gharama?
Mbona ukupinga chuo cha Dodoma(UDOM) kujengwa dodoma
Bunge kujengwa dodoma?
Your too stupid 🙄
 
Tatizo akili zako ndogo sana hivyo huwezi kuelewa logic iliyopo kwenye hoja yangu.

It was necessary to decogest Dar es Salaam but choosing Dodoma to me is a wrong choice. Time will Tell

Muda ukifika tutaufufua tu huu uzi. Uzuri wa JF wakati ukifika nyuzi zinafufuliwaga tu!
 
Tatizo akili zako ndogo sana hivyo huwezi kuelewa logic iliyopo kwenye hoja yangu.

Muda ukifika tutaufufua tu huu uzi. Uzuri wa JF wakati ukifika nyuzi zinafufuliwaga tu!
🤣🤣🤣 akili nilizo nazo mimi mkichanganya ukoo wenu wote hakuna wa kunipata .

Na kuna watu wanakuita kaka wewe ni hasara kwenye familia yako.
 
🤣🤣🤣 akili nilizo nazo mimi mkichanganya ukoo wenu wote hakuna wa kunipata .

Na kuna watu wanakuita kaka wewe ni hasara kwenye familia yako.
Ni maoni yako. Hongera kwa kutumia uhuru wako wa maoni
 
Huwa naona aibu kwamba na wazanzibar eti ni sehemu ya nchi yetu, yaani watu legelege, watu walalamishi, wavivu na wazembe, wasiojua nini hawataki na nini wanataka, wasio na msimamo wao kupenda mahaba na kula tu basi
Ulichokiandika kinaendana na hilo jina lako
 
Kukubali kutawaliwa kibabe na kikundi cha watu wachache tu wanaojiita ccm! Aisee hawa watu wanafaidi keki ya Taifa!!

Yaani wakati unahangaika kutafuta hela kwa jasho, wenyewe hata hawajui hizo hela wafanyie nini!!

Miaka nenda wanapeana vyeo kwa kujuana! Wanaliingiza Taifa katika mikataba mibovu! Hawana uzalendo! Muda wote wanawaza kupiga tu.
 
Umesahau mengine mengi.
1.Kuharibu elimu yetu kwa kushirikiana na mabeberu.
2.Kuharibu Kilimo kwa kushirikiana na mabeberu kama akina Rockefeller.
3.Kutaifisha mali za watu.
4.Kushirikiana na mabeberu kuharibu mazingira yetu.
4.Kushirikiana na mabeberu kuharibu afya za Watanzania kwa kutumia mbinu mbali mbali.
 
Wew ni mchaga why not mbeya
 
Kuna haya maamuzi ya kupunguza maeneo ya hifadhi ili ku accommodate jamii za wafugaji badala ya kuwahimiza kufuga kisayansi na kibiashara kwenye eneo moja bila kuhama.

Hili nalo litakuja kutucost sana.
 
Hakuona fahari nyie kuwa sehemu yetu ila aliwachukua baada ya kuona mlivyo wapenda starehe akaamua awaunge na sisi ilimjifunze kazi
 
Kabla hata sijamaliza kuongea nimekuja kukupa challenge ya hiyo namba mbili, KISWAHILI ndiyo lugha yetu, na bado tungefanya biashara na hao mabeberu, hapa kwenye gari sasa hivi nina waKorea hawajui kingereza lakini wamekuja kikazi hapa kwetu, rejea Russia, China, Korea na hao hao UK... Watu wanathamini lugha zao na ukiwataka kajifunze Cha kwao, lakini ninyi watu wa East Africa hususani Tanzania, mnadharau lugha yenu kwa nini?

Russia ni Taifa tajiri lenye nguvu, China vivyo hivyo, lakini wanaongea kingereza?

Acheni ushamba bwana
 
Hakuona fahari nyie kuwa sehemu yetu ila aliwachukua baada ya kuona mlivyo wapenda starehe akaamua awaunge na sisi ilimjifunze kazi
Kwa kazi gani munazofanya? Au unamaanisha kulewa? Hujui hata unachozungumza, umekuwa mbumbumbu tu.

Tulikuja kukufunzeni hata kuvaa nguo na ustaarabu mwingine.
 
Ya dodoma ondoa
 
Kwa kazi gani munazofanya? Au unamaanisha kulewa? Hujui hata unachozungumza, umekuwa mbumbumbu tu.

Tulikuja kukufunzeni hata kuvaa nguo na ustaarabu mwingine.
Hakuna walevi kama wazanzibar sema wanalewa kwa kujificha hapo unapata tatizo la pili yaani unafiki, nguo gani mnavaa nyie tofauti na kanzu kama wazee wa karne ya 13.
 
Kutumia KISWAHILI kama lugha ya kufundishia primary kwa watoto wa masikini kwa miaka 8(mmoja wa chekechea)Kisha wakimaliza primary unawabadilishia gafla KINGEREZA lugha ya kufundishia secondary.Aliyefanya haya kizazi chake kilaaniwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…