ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Magufuli kua rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani ilikuwa vyema kudai uhuru mwaka gani hebu fafanua.La kwanza kabisa ni Nyerere kudai uhuru 1961, alitukosea sana yule mzee na mitamaa yake ya uongozi. La pili ni kuungana kwa Tanganyika na Zanzibar, hapo ndo tulikosea mazima.
Ukiacha suala la bandari, kwenye bandiko hili nakuunga mkono kwa zaidi ya 90%1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu
ngekuwa uamuzi wangu ningechagua sehemu yenye kijani na maji safi kama Mkoa wa Pwani, Morogoro au Arusha kuufanya Makao Makuu.
Ni hatari sn na wababuziMkuu kwenye hili umenena. Ni kawaida 'lila na fila hazitangamani'.
Naunga mkono hojaMagufuli kua rais
Unastahi kupongezwa1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu
Unaonaje andelee huyo aliepo kwa muda huo wa miaka 30?8. Wakristo na waislamu kuongoza nchi Kwa zamu ya Miaka Kumi kumi. Tunahitaji Ráisi mmoja tu mchapa kazi hata kwa Miaka 30
Kwenye Bandari utakuja tu kuniunga mkono sikuUkiacha suala la bandari, kwenye bandiko hili nakuunga mkono kwa zaidi ya 90%
Leo nimepata pongezi yako. Kweli umeamka vizuri bwasheeUnastahi kupongezwa
Haina shida hii. Inarahisisha peaceful transfer of power na kuepusha gharama zisizo za msingiKubwa kabisa ni katiba kuruhusu makamu wa rais arithi inapotokea rais amefariki.hiki kifungu kwa sasa kinatupa shida kwa sababu aliyerithi hana uwezo wa kuongoza.Kila siku nchi anaiharibu tu .warithi ni hasara kwa maendeleo ya nchi yetu tanganyika
Hapa napo tulibugi sana. Kwa zile kesi tulizoshtakiwa kwa mikataba aliyovunja inawezekana nchi yetu ikaja kufirisikaMagufuli kua rais
8. Kuruhusu Magufuli awe rais wa Tanzania1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu
Yule jamaa alikuwa na maamuzi ya hovyo sana. Kwa mwendo wa hizi kesi tulizoshtakiwa tunaweza firisika kama nchi kwa kweli8. Kuruhusu Magufuli awe rais wa Tanzania
Amepoteza umaarufu Sana baada ya mishahara kutoka juzi.Weka na mifano