Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #61
Niliwahi kujisemea nisije pewa uwaziri wa ardhi. Maana ntavunja nyumba za watu hadi wataniona mwehuIla mshangao bado Serikali inaruhusu watu wajenge hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi kujisemea nisije pewa uwaziri wa ardhi. Maana ntavunja nyumba za watu hadi wataniona mwehuIla mshangao bado Serikali inaruhusu watu wajenge hovyo
Kwa akili yako kwa Dodoma umeona maji tu?Kuhuhu dodoma kama ishu ni maji tu basi umepuyanga maji yanaweza kuvutwa kutoka popote
Changamoto gani nyingine, baada ya miaka mia unafikiri dodoma itakua kama unavyoiona leo?Kwa akili yako kwa Dodoma umeona maji tu?
Umesoma na kuelewa no. 7?Changamoto gani nyingine, baada ya miaka mia unafikiri dodoma itakua kama unavyoiona leo?
Ni commitment tu . Sasa Dodoma pasingekua makao makuu si pangeendelea kua nyuma miaka yote.Umesoma na kuelewa no. 7?
Issue kwa Dodoma ni gharama tutakazoingia katika kuifanya ipendeze. Endapo sehemu nyingine ingekuwa ndo makao makuu ya nchi hasa mikoa yenye mvua za kutosha na mazingira mazuri yanayopendeza gharama za kupapendezesha zingekuwa ndogo sana
Alaumiwe na kulaaniwa nyerere1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu
2. Kufanya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia na mawasiliano. Hili jambo ukichanganya na matokeo ya jambo la kwanza limeturudisha nyuma sana. Leo hii Watanzania wengi wanaogopa kupambania fursa zinazopatikana duniani kwa kutokujua lugha tu. Lugha imepelekea pia kukosa fursa nyingi sana kwa Watanzania za ndani na nje.
3. Kuruhusu watu kujenga maeneo ambayo hayajapangwa wala kupimwa. Hili hadi leo limesababisha sehemu kubwa ya nchi yetu kujengwa hovyo bila mpangilio.
4. Utaifishaji wa Mali hasa Makampuni na Taasisi zilizokuwa zinajiendesha vizuri. Hili lilitokana na sera za ujamaa. Mali nyingi zilizotaifishwa hatukuweza kuziendeleza na ilikuja kusababisha uchumi wetu kuwa duni sana. Hadi leo hatujutii hili jambo
5. Kuvunja mikataba ya uwekezaji kwa Kiki za kisiasa. Hili jambo limetugharimu na litakuja kutugharimu sana huko mbeleni. Nchi hii imewapa wanasiasa nguvu kubwa sana ya kuamua mambo na imefika kipindi hawajali hata sheria na taratibu. Maamuzi yao hayahojiwi hivyo kupelekea kila siku tumekuwa tukiumizwa na maamuzi hayo.
6. Kuunda Muungano wa Serikali 2. Kiukweli muungano kama Muungano ulitakiwa kuwa wa Serikali 1 tu. Huu uwingi wa Serikali ni uchu wetu sisi waafrika kutaka nafasi ili kujipatia ulaji
NYONGEZA
7. Kufanya Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi. Kusema kweli ule mji haupendezi na utaligharimu taifa fedha nyingi sana kuupendezesha. Una kaukame kamoja kabaya sana na maji magumu sana. Kuna mda hadi pipes za kuingia majumbani zinaziba kwa sababu ya chumvi.
Sababu zilizotumika kuufanya kuwa Makao Makuu ya nchi sikubaliani nazo na ingekuwa uamuzi wangu ningechagua sehemu yenye kijani na maji safi kama Mkoa wa Pwani, Morogoro au Arusha kuufanya Makao Makuu.
Kwa hiyo bila kuwa Makao Makuu pangeendelea kuwa nyuma?Ni commitment tu . Sasa Dodoma pasingekua makao makuu si pangeendelea kua nyuma miaka yote.
Tena nyuma sanaa.Kwa hiyo bila kuwa Makao Makuu pangeendelea kuwa nyuma?
Maeneo ya jangwa yana gharama sana kuyaendeleza. Mfano tunaona namna Misri, Qatar na UAE wanavyoingia gharamaTena nyuma sanaa.
Ndio maana nikasema ni bora ilivyokua makao makuu walau tuna sababu ya msingi kupaendeleza, Vinginevyo aloo pangekua pa kishenzi sanaMaeneo ya jangwa yana gharama kuyaendeleza. Mfano tunaona namna Misri, Qatar na UAE wanavyoingia gharama
Kosa lingine ilikuwa kuruhusu katiba kama hii. Kuunda Muungano wa Serikali 2. Kiukweli muungano kama Muungano ulitakiwa kuwa wa Serikali 1 tu. Huu uwingi wa Serikali ni uchu wetu sisi waafrika kutaka nafasi ili kujipatia ulaji
NYONGEZA
7. Kufanya Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi. Kusema kweli ule mji haupendezi na utaligharimu taifa fedha nyingi sana kuupendezesha. Una kaukame kamoja kabaya sana na maji magumu sana. Kuna mda hadi pipes za kuingia majumbani zinaziba kwa sababu ya chumvi.
😅😅😅😅Mbona umenyoka naye sanaNaona wajinga leo mmeamka na Nyerere baada ya lile la udini kufeli, na hapa mtafeli pia, najua mmetumwa kuzima moto wa bandari zetu unaoendelea kuwawakia nyie wasaliti na vibaraka wa shetani.
Iko hivi; unapomlaumu Nyerere leo, miaka zaidi ya 20 baada ya kifo chake, na miaka zaidi ya 30, baada ya Nyerere kutoka madarakani, unaonesha ulivyo na akili mfu, na hilo sio kosa la Nyerere kama ulivyoandika, ni kosa la wazazi wako kukupeleka shule za hovyo.
Kwasababu ukijumlisha hiyo miaka, utakuta kuna miaka zaidi ya 50 tangu Nyerere aondoke madarakani, sasa kitu gani kinawashinda kubadili hali hiyo hata baada ya miaka yote hiyo kupita?
Hebu tuambie, ni kipi kati ya hayo yote uliyoorodhesha hapo juu kinachohitaji kubadilishwa baada ya miaka zaidi ya 50 ili tumlaumu Nyerere? na kama sio unakurupuka tu, ni nini kingine?
Tena wewe Lord denning ndie chawa mzembe unayepigia debe ule mkataba wa hovyo wa bandari zetu watanganyika, wenye terms za kinyonyaji kwetu, halafu kwa ujinga wako unamlaumu Nyerere! kwamba Nyerere ndie alikutuma uwe mjinga kupigia debe ule mkataba wa hovyo?
Hauna akili.
Mchawi huyo.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mbona umenyoka naye sana
Wapi kwenye uzi wangu nimemtaja Nyerere?Naona wajinga leo mmeamka na Nyerere baada ya lile la udini kufeli, na hapa mtafeli pia, najua mmetumwa kuzima moto wa bandari zetu unaoendelea kuwawakia nyie wasaliti na vibaraka wa shetani.
Iko hivi; unapomlaumu Nyerere leo, miaka zaidi ya 20 baada ya kifo chake, na miaka zaidi ya 30, baada ya Nyerere kutoka madarakani, unaonesha ulivyo na akili mfu, na hilo sio kosa la Nyerere kama ulivyoandika, ni kosa la wazazi wako kukupeleka shule za hovyo.
Kwasababu ukijumlisha hiyo miaka, utakuta kuna miaka zaidi ya 50 tangu Nyerere aondoke madarakani, sasa kitu gani kinawashinda kubadili hali hiyo hata baada ya miaka yote hiyo kupita?
Hebu tuambie, ni kipi kati ya hayo yote uliyoorodhesha hapo juu kinachohitaji kubadilishwa baada ya miaka zaidi ya 50 ili tumlaumu Nyerere? na kama sio unakurupuka tu, ni nini kingine?
Tena wewe Lord denning ndie chawa mzembe unayepigia debe ule mkataba wa hovyo wa bandari zetu watanganyika, wenye terms za kinyonyaji kwetu, halafu kwa ujinga wako unamlaumu Nyerere! kwamba Nyerere ndie alikutuma uwe mjinga kupigia debe ule mkataba wa hovyo?
Hauna akili.
Thubutu, sio kwa terms hizi.Kwenye Bandari utakuja tu kuniunga mkono siku
Hakuna terms zinazotumaliza pale. Ni maneno ya wanasiasa tu maana hiki ni kipindi cha siasa. Mwaka kesho uchaguzi serikali za mitaa then mwaka 2025 ni uchaguzi mkuu hivyo kelele unazozisikia ni maandalizi ya kisiasa tuThubutu, sio kwa terms hizi.
Azimio la Arusha alileta nani? Kiswahili kuwa lugha ya taifa?Wapi kwenye uzi wangu nimemtaja Nyerere?
Mbona kama una hasira sana?