Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #101
Tatizo tumewapa nguvu sana wanasiasa.TANZANIA INA NEEMA.
WATANZANIA TUNA LAANA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo tumewapa nguvu sana wanasiasa.TANZANIA INA NEEMA.
WATANZANIA TUNA LAANA.
Sababu zilizotumika kuufanya kuwa Makao Makuu ya nchi sikubaliani nazo na ingekuwa uamuzi wangu ningechagua sehemu yenye kijani na maji safi kama Mkoa wa Pwani, Morogoro au Arusha kuufanya Makao Makuu.
Tatizo la watanzania mnakujaga kuelewa badae sana.Inabidi ujitoe uwaachie waliozikubali
Kabisa mkuuTANZANIA INA NEEMA.
WATANZANIA TUNA LAANA.
8. Maamuzi ya kuiacha CCM itutawale kwa miaka zaidi ya 60 sasa bila ahueni yoyote kwa wenyenchi.1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu
2. Kufanya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia na mawasiliano. Hili jambo ukichanganya na matokeo ya jambo la kwanza limeturudisha nyuma sana. Leo hii Watanzania wengi wanaogopa kupambania fursa zinazopatikana duniani kwa kutokujua lugha tu. Lugha imepelekea pia kukosa fursa nyingi sana kwa Watanzania za ndani na nje.
3. Kuruhusu watu kujenga maeneo ambayo hayajapangwa wala kupimwa. Hili hadi leo limesababisha sehemu kubwa ya nchi yetu kujengwa hovyo bila mpangilio.
4. Utaifishaji wa Mali hasa Makampuni na Taasisi zilizokuwa zinajiendesha vizuri. Hili lilitokana na sera za ujamaa. Mali nyingi zilizotaifishwa hatukuweza kuziendeleza na ilikuja kusababisha uchumi wetu kuwa duni sana. Hadi leo hatujutii hili jambo
5. Kuvunja mikataba ya uwekezaji kwa Kiki za kisiasa. Hili jambo limetugharimu na litakuja kutugharimu sana huko mbeleni. Nchi hii imewapa wanasiasa nguvu kubwa sana ya kuamua mambo na imefika kipindi hawajali hata sheria na taratibu. Maamuzi yao hayahojiwi hivyo kupelekea kila siku tumekuwa tukiumizwa na maamuzi hayo.
6. Kuunda Muungano wa Serikali 2. Kiukweli muungano kama Muungano ulitakiwa kuwa wa Serikali 1 tu. Huu uwingi wa Serikali ni uchu wetu sisi waafrika kutaka nafasi ili kujipatia ulaji
NYONGEZA
7. Kufanya Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi. Kusema kweli ule mji haupendezi na utaligharimu taifa fedha nyingi sana kuupendezesha. Una kaukame kamoja kabaya sana na maji magumu sana. Kuna mda hadi pipes za kuingia majumbani zinaziba kwa sababu ya chumvi.
Sababu zilizotumika kuufanya kuwa Makao Makuu ya nchi sikubaliani nazo na ingekuwa uamuzi wangu ningechagua sehemu yenye kijani na maji safi kama Mkoa wa Pwani, Morogoro au Arusha kuufanya Makao Makuu.
Hakukuwa na haja ya uharaka huu wa sasa.Mzee mimi nakukubalia asilimia 150 uzi wako umeenda sana shule sijui kama watu wanakuelewa haswa uamuzi wa kuhamia Dodoma mji ulio sehemukame tena kwa uharaka waajabu sana na pia Muungano wa hovyo kabisa! These are facts na siyo opinion ni ngumu mtu kukujibu kwa ufasaha hizi hoja zako!
Mabeyo kuachia nchi kizembe....Weka na mifano
Kwenye afadhali ni China na Russia ila Cuba na Venezuela bora hata na sisi8. Maamuzi ya kuiacha CCM itutawale kwa miaka zaidi ya 60 sasa bila ahueni yoyote kwa wenyenchi.
Vyama vilivyotawala mda mrefu zaidi ya miaka 60 huko duniani vimeleta ahueni kwa wananchi lakini ccm imeshindwa kabisa pamoja na kuwa na advantage ya kuwepo ama kutokuwepo upinzani. CCM wameshindwa hata kujifunza kwa wenzao wa China, Cuba au Soviet maana huko kote vyama vyao vili/vimetawala muda mrefu ila kwao wana ahueni kuliko mahoehae wa kibongo. CCM wanakwama wapi? Hawana akili au akili zimefika mwisho wa kufikiri?
Akili zetu bana1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu
2. Kufanya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia na mawasiliano. Hili jambo ukichanganya na matokeo ya jambo la kwanza limeturudisha nyuma sana. Leo hii Watanzania wengi wanaogopa kupambania fursa zinazopatikana duniani kwa kutokujua lugha tu. Lugha imepelekea pia kukosa fursa nyingi sana kwa Watanzania za ndani na nje.
3. Kuruhusu watu kujenga maeneo ambayo hayajapangwa wala kupimwa. Hili hadi leo limesababisha sehemu kubwa ya nchi yetu kujengwa hovyo bila mpangilio.
4. Utaifishaji wa Mali hasa Makampuni na Taasisi zilizokuwa zinajiendesha vizuri. Hili lilitokana na sera za ujamaa. Mali nyingi zilizotaifishwa hatukuweza kuziendeleza na ilikuja kusababisha uchumi wetu kuwa duni sana. Hadi leo hatujutii hili jambo
5. Kuvunja mikataba ya uwekezaji kwa Kiki za kisiasa. Hili jambo limetugharimu na litakuja kutugharimu sana huko mbeleni. Nchi hii imewapa wanasiasa nguvu kubwa sana ya kuamua mambo na imefika kipindi hawajali hata sheria na taratibu. Maamuzi yao hayahojiwi hivyo kupelekea kila siku tumekuwa tukiumizwa na maamuzi hayo.
6. Kuunda Muungano wa Serikali 2. Kiukweli muungano kama Muungano ulitakiwa kuwa wa Serikali 1 tu. Huu uwingi wa Serikali ni uchu wetu sisi waafrika kutaka nafasi ili kujipatia ulaji
NYONGEZA
7. Kufanya Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi. Kusema kweli ule mji haupendezi na utaligharimu taifa fedha nyingi sana kuupendezesha. Una kaukame kamoja kabaya sana na maji magumu sana. Kuna mda hadi pipes za kuingia majumbani zinaziba kwa sababu ya chumvi.
Sababu zilizotumika kuufanya kuwa Makao Makuu ya nchi sikubaliani nazo na ingekuwa uamuzi wangu ningechagua sehemu yenye kijani na maji safi kama Mkoa wa Pwani, Morogoro au Arusha kuufanya Makao Makuu.
Tungeweka Tabora misituni mule Eti....Hakukuwa na haja ya uharaka huu wa sasa.
Isitoshe Dodoma kuipendezesha ni gharama sana maana maeneo yenye asili ya ujangwa yanahitaji gharama kubwa za fedha kuyapendezesha. Kwenye hili itabidi fedha nyingi sana zitumike na nina uhakika lazima watu watakuja kuhoji baadae.
Mwisho sehemu kubwa ya nchi yetu ia kijani kinachopendeza sana. Sijaelewa na kamwe sitaelewa kwa nini tuliamua na kukubali sehemu yenye asili ya jangwa kuwa makao makuu ya nchi wakati kuna maeneo mengi ya kijani kinachovutia tukayaacha
Kuna taratibu za kufuata. Hizo taratibu kamwe hazifuatwagi hapa kwetu.Kwa hiyo mikataba ikigundulika ni mibovu nini kifanyike??
Kuna maeneo yana kijani kinachopendeza sana nchi hii yangechaguliwa tu kuwa Makao Makuu ya Nchi.Tungeweka Tabora misituni mule Eti....
Zina shida sanaAkili zetu bana
Cuba wana nafuu kuliko sisiKwenye afadhali ni China na Russia ila Cuba na Venezuela bora hata na sisi
Zina shida sana
NA SERA YA VILLAGIZATION YA KUWAKUSANYA WANAVIJIJI KUISHI PAMOJA KWENYE VIJIJI VYA UJAMAA NI JAMBO LILIKUWA NA LIMESABABISHA ATHARI MBAYA ZA KIMAENDELEO IKIWEMO UHARIBIFU MKUBWA WA MAZINGIRA. KUJUA HILI WEWE CHUNGUZA MIKOA ALIYOPITIWA NA SERA HII NA AMBAYO WALIMGOMEA MZEE JULIUS MIKOA YA MBEYA (TUKUYU), KILIMANJARO, ARUSHA (ARUMERU), KAGERA. MAENEO HAYO AT LEAST BADO YAKO SAAFI. KWA MFANO UKITEMBELEA TUKUYU KITU KITAKACHO KUSHANGAZA NI NAMNA UOTO WA ASILI ULIVYOTUNZWA HADI LEO. MITO YA ASILI BADO INATIRIRIKA MAJI VIZURI KABISA, CHANIKIWITI NI MUDA WOOTE!1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu
2. Kufanya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia na mawasiliano. Hili jambo ukichanganya na matokeo ya jambo la kwanza limeturudisha nyuma sana. Leo hii Watanzania wengi wanaogopa kupambania fursa zinazopatikana duniani kwa kutokujua lugha tu. Lugha imepelekea pia kukosa fursa nyingi sana kwa Watanzania za ndani na nje.
3. Kuruhusu watu kujenga maeneo ambayo hayajapangwa wala kupimwa. Hili hadi leo limesababisha sehemu kubwa ya nchi yetu kujengwa hovyo bila mpangilio.
4. Utaifishaji wa Mali hasa Makampuni na Taasisi zilizokuwa zinajiendesha vizuri. Hili lilitokana na sera za ujamaa. Mali nyingi zilizotaifishwa hatukuweza kuziendeleza na ilikuja kusababisha uchumi wetu kuwa duni sana. Hadi leo hatujutii hili jambo
5. Kuvunja mikataba ya uwekezaji kwa Kiki za kisiasa. Hili jambo limetugharimu na litakuja kutugharimu sana huko mbeleni. Nchi hii imewapa wanasiasa nguvu kubwa sana ya kuamua mambo na imefika kipindi hawajali hata sheria na taratibu. Maamuzi yao hayahojiwi hivyo kupelekea kila siku tumekuwa tukiumizwa na maamuzi hayo.
6. Kuunda Muungano wa Serikali 2. Kiukweli muungano kama Muungano ulitakiwa kuwa wa Serikali 1 tu. Huu uwingi wa Serikali ni uchu wetu sisi waafrika kutaka nafasi ili kujipatia ulaji
NYONGEZA
7. Kufanya Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi. Kusema kweli ule mji haupendezi na utaligharimu taifa fedha nyingi sana kuupendezesha. Una kaukame kamoja kabaya sana na maji magumu sana. Kuna mda hadi pipes za kuingia majumbani zinaziba kwa sababu ya chumvi.
Sababu zilizotumika kuufanya kuwa Makao Makuu ya nchi sikubaliani nazo na ingekuwa uamuzi wangu ningechagua sehemu yenye kijani na maji safi kama Mkoa wa Pwani, Morogoro au Arusha kuufanya Makao Makuu.
Baba yako kutoa shahawa ili wewe uzaliwe bora angepiga nyeto chooni angetuepusha na ujinga wakoMagufuli kua rais