Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna clip mwandishi wa TRC anazungumza na engineer anayejenga Treni zetu za umeme. Yule muhandisi anatumia kiingereza. Hii Indonesia hata mataifa makubwa yanajali kiingereza.hapo kwenye kwenye kuruhusu kiswahili kuwa lugha ya taifa na lugha ya kufundishia shule ya msingi upo sahihi 100%.
madhara yake ni makubwa sana, tumebaki kutumia hoja dhaifu kujifariji. unakuta mwanasiasa anazungumza eti hata hata wachina, waitaliano na wajerumani hawazungumzi kiswahili na wapo mbelea kauchumi.
Vita ya Uganda bado naifanyia utafiti. Kama mna data zimwageni humu. Ila haya mengine nimeyafanyia utafiti vizuri kabisaMuhimu hili la muungano lipo hoja zako zote naziunga mkono.
Pia na vita ya uganga nayo imetuweka sehemu mbaya kwa kiasi chake.
Yule mzee kweli tulitelezaThe worst of all ni jiwe kupewa urais.
Tatizo waliangalia wapi katikati sio wapi pana unafuuKuna maeneo yana kijani kinachopendeza sana nchi hii yangechaguliwa tu kuwa Makao Makuu ya Nchi.
Tunakuwa kama tuna uhaba wa maeneo mazuri. Unaachaje maeneo yenye kijani kinachopendeza kama Morogoro, Arusha na hata Pwani alafu unaenda kufanya Makao Makuu ya Nchi Dodoma?
Bustani za mji wa Serikali tu karibu miaka 2 saivi hawajaweza kuweka sehemu zote na hata hizo walizoweka tu zinamwagiwa maji hadi basi ila wapi???
Haikuwa hoja ya msingi. Ndo haya alisema Askofu Gwajima. Unapopanga mipango lazima uangalie miaka 50- 100 mbele.Tatizo waliangalia wapi katikati sio wapi pans unafuu
Ile vita ni changamoto brother , endelea kitafiti.Vita ya Uganda bado naifanyia utafiti. Kama mna data zimwageni humu. Ila haya mengine nimeyafanyia utafiti vizuri kabisa
Hakuona umbali wowote. Maamuzi yange mengi sana ndo yamesababisha matokeo tuliyonayo leo.Baba wa taifa Mwl JK Nyerere aliona mbali sana. USA na China ni Socialist state.
Hili la Dodoma kuwa makao makuu halikuwaanza gafla ilikuwa ni mchakato wa muda mrefu toka enzi za mwalimuMaana gani ya msingi ya kufanya Dodoma kuwa Makao Makuu?
Ndo hiyo mnadai mkoa wa katikati mwa Tanzania?
Katika karne hii ya sayansi na teknolojia hiyo hoja ina msingi gani?
Daah....Ifike wakati tuzungumze ukweli ,hasa kwenye masuala kama haya ambayo yanagusa wananchi moja kwa moja ,bila kujali utofauti uliopo kati yetu iwe kidini ,kikabila na kiitikadi. Kwanza kabisa lazima kila mtu aelewe kwamba nnachotaka kuzungumza hapa Ni kitu ambacho wengi hawakijui, kiasi kwamba mimi mwenyewe sijui nataka kuongea nini.
Asanteni sana.
Wewe ndo mjinga.Hili la Dodoma kuwa makao makuu halikuwaanza gafla ilikuwa ni mchakato wa muda mrefu toka enzi za mwalimu
Na wewe unavyopinga Dodoma kuwa makao makuu kwa hoja ya ukame eti selikari itatumia gharama kubwa eti bora pwani sasa pwani si ndio ingetumika gharama kubwa zaidi.
Ndio maana nasema nyie wajinga wajinga ndio mnaturudisha nyuma sana hii nchi.Tanzania ni nchi yenye wajinga wengi sana mna kila kitu lakini mmekosa akili
Samahani Mkuu..kwani Kuna bustani iliyopandwa matofali!!??Wewe ndo mjinga.
Huelewi gharama za kupendezesha sehemu zenye ukame? Umeishia darasa la ngapi?
Nikupe mfano. Sehemu ambayo mvua zinanyesha miezi 2 kwa mwaka na sehemu ambayo mvua zinanyesha miezi 6-7 kwa mwaka wapi ni nafuu kuweka bustani ya majani?
Ni mfano tuSamahani Mkuu..kwani Kuna bustani iliyopandwa matofali!!??
Sijawahi ona mama mjamzito kafa kwa Corona ulitafuta kichaka tu cha kuficha ukilaza wako tu .Namba tano kwa kweli inasikitisha.
Nakumbuka kipindi cha corona kuna mama majamzito alifia hospitalini kwetu kwa sababu ya corona.
Sasa mimi ni kaandika kuwa sababu ya kifo ni korona. Weeeh. Wanasiasa waliniwashia moto eti mkuu wa nchi ameshasema hamna corona. Sasa wewe unachafua mkoa wetu na sisi tutakuchafua. Issue ile iliniudhi sana maana hata ndugu walijua kuwa mgonjwa wao amekufa kwa korona sasa mwanasiasa anakataa. Wanasiasa ni shida.
Naunga mkono hoja1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu
2. Kufanya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia na mawasiliano. Hili jambo ukichanganya na matokeo ya jambo la kwanza limeturudisha nyuma sana. Leo hii Watanzania wengi wanaogopa kupambania fursa zinazopatikana duniani kwa kutokujua lugha tu. Lugha imepelekea pia kukosa fursa nyingi sana kwa Watanzania za ndani na nje.
3. Kuruhusu watu kujenga maeneo ambayo hayajapangwa wala kupimwa. Hili hadi leo limesababisha sehemu kubwa ya nchi yetu kujengwa hovyo bila mpangilio.
4. Utaifishaji wa Mali hasa Makampuni na Taasisi zilizokuwa zinajiendesha vizuri. Hili lilitokana na sera za ujamaa. Mali nyingi zilizotaifishwa hatukuweza kuziendeleza na ilikuja kusababisha uchumi wetu kuwa duni sana. Hadi leo hatujutii hili jambo
5. Kuvunja mikataba ya uwekezaji kwa Kiki za kisiasa. Hili jambo limetugharimu na litakuja kutugharimu sana huko mbeleni. Nchi hii imewapa wanasiasa nguvu kubwa sana ya kuamua mambo na imefika kipindi hawajali hata sheria na taratibu. Maamuzi yao hayahojiwi hivyo kupelekea kila siku tumekuwa tukiumizwa na maamuzi hayo.
6. Kuunda Muungano wa Serikali 2. Kiukweli muungano kama Muungano ulitakiwa kuwa wa Serikali 1 tu. Huu uwingi wa Serikali ni uchu wetu sisi waafrika kutaka nafasi ili kujipatia ulaji
NYONGEZA
7. Kufanya Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi. Kusema kweli ule mji haupendezi na utaligharimu taifa fedha nyingi sana kuupendezesha. Una kaukame kamoja kabaya sana na maji magumu sana. Kuna mda hadi pipes za kuingia majumbani zinaziba kwa sababu ya chumvi.
Sababu zilizotumika kuufanya kuwa Makao Makuu ya nchi sikubaliani nazo na ingekuwa uamuzi wangu ningechagua sehemu yenye kijani na maji safi kama Mkoa wa Pwani, Morogoro au Arusha kuufanya Makao Makuu.
Tulianguka aiseeYule mzee kweli tuliteleza
1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu
2. Kufanya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia na mawasiliano. Hili jambo ukichanganya na matokeo ya jambo la kwanza limeturudisha nyuma sana. Leo hii Watanzania wengi wanaogopa kupambania fursa zinazopatikana duniani kwa kutokujua lugha tu. Lugha imepelekea pia kukosa fursa nyingi sana kwa Watanzania za ndani na nje.
3. Kuruhusu watu kujenga maeneo ambayo hayajapangwa wala kupimwa. Hili hadi leo limesababisha sehemu kubwa ya nchi yetu kujengwa hovyo bila mpangilio.
4. Utaifishaji wa Mali hasa Makampuni na Taasisi zilizokuwa zinajiendesha vizuri. Hili lilitokana na sera za ujamaa. Mali nyingi zilizotaifishwa hatukuweza kuziendeleza na ilikuja kusababisha uchumi wetu kuwa duni sana. Hadi leo hatujutii hili jambo
5. Kuvunja mikataba ya uwekezaji kwa Kiki za kisiasa. Hili jambo limetugharimu na litakuja kutugharimu sana huko mbeleni. Nchi hii imewapa wanasiasa nguvu kubwa sana ya kuamua mambo na imefika kipindi hawajali hata sheria na taratibu. Maamuzi yao hayahojiwi hivyo kupelekea kila siku tumekuwa tukiumizwa na maamuzi hayo.
6. Kuunda Muungano wa Serikali 2. Kiukweli muungano kama Muungano ulitakiwa kuwa wa Serikali 1 tu. Huu uwingi wa Serikali ni uchu wetu sisi waafrika kutaka nafasi ili kujipatia ulaji
NYONGEZA
7. Kufanya Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi. Kusema kweli ule mji haupendezi na utaligharimu taifa fedha nyingi sana kuupendezesha. Una kaukame kamoja kabaya sana na maji magumu sana. Kuna mda hadi pipes za kuingia majumbani zinaziba kwa sababu ya chumvi.
Sababu zilizotumika kuufanya kuwa Makao Makuu ya nchi sikubaliani nazo na ingekuwa uamuzi wangu ningechagua sehemu yenye kijani na maji safi kama Mkoa wa Pwani, Morogoro au Arusha kuufanya Makao Makuu.
Wewe ndio wa hovyo kuliko yote uliyoyataja hapo, sababu unadhani maamuzi na matakwa ya nchi ambayo hayakufanikiwa hayakuwa na misingi ama maono wakati yanatekelezwa!1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu
2. Kufanya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia na mawasiliano. Hili jambo ukichanganya na matokeo ya jambo la kwanza limeturudisha nyuma sana. Leo hii Watanzania wengi wanaogopa kupambania fursa zinazopatikana duniani kwa kutokujua lugha tu. Lugha imepelekea pia kukosa fursa nyingi sana kwa Watanzania za ndani na nje.
3. Kuruhusu watu kujenga maeneo ambayo hayajapangwa wala kupimwa. Hili hadi leo limesababisha sehemu kubwa ya nchi yetu kujengwa hovyo bila mpangilio.
4. Utaifishaji wa Mali hasa Makampuni na Taasisi zilizokuwa zinajiendesha vizuri. Hili lilitokana na sera za ujamaa. Mali nyingi zilizotaifishwa hatukuweza kuziendeleza na ilikuja kusababisha uchumi wetu kuwa duni sana. Hadi leo hatujutii hili jambo
5. Kuvunja mikataba ya uwekezaji kwa Kiki za kisiasa. Hili jambo limetugharimu na litakuja kutugharimu sana huko mbeleni. Nchi hii imewapa wanasiasa nguvu kubwa sana ya kuamua mambo na imefika kipindi hawajali hata sheria na taratibu. Maamuzi yao hayahojiwi hivyo kupelekea kila siku tumekuwa tukiumizwa na maamuzi hayo.
6. Kuunda Muungano wa Serikali 2. Kiukweli muungano kama Muungano ulitakiwa kuwa wa Serikali 1 tu. Huu uwingi wa Serikali ni uchu wetu sisi waafrika kutaka nafasi ili kujipatia ulaji
NYONGEZA
7. Kufanya Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi. Kusema kweli ule mji haupendezi na utaligharimu taifa fedha nyingi sana kuupendezesha. Una kaukame kamoja kabaya sana na maji magumu sana. Kuna mda hadi pipes za kuingia majumbani zinaziba kwa sababu ya chumvi.
Sababu zilizotumika kuufanya kuwa Makao Makuu ya nchi sikubaliani nazo na ingekuwa uamuzi wangu ningechagua sehemu yenye kijani na maji safi kama Mkoa wa Pwani, Morogoro au Arusha kuufanya Makao Makuu.
Hakukuwa na msingi wowote kufanya hayo maamuzi.Wewe ndio wa hovyo kuliko yote uliyoyataja hapo, sababu unadhani maamuzi na matakwa ya nchi ambayo hayakufanikiwa hayakuwa na misingi ama maono wakati yanatekelezwa!
Vp kuhusu wale waliokua scattered huko maporini walivokusanywa pamoja kwenye vijiji vp haikua sawa kurahisisha utoaji wa huduma kwa urahisi na kusave gharama za kuunda miundombinu kufikia wananchi wengi?Hakukuwa na msingi wowote kufanya hayo maamuzi.
Nikuulize! Watu wanaishi vizuri na wanaendelea na shughuli zao za kujitafutia kipato vizuri kabisa. Sasa kulikuwa na haja gani kuwaondoa kwenye shughuli zao kuwapeleka sehemu za maporini wakaanze maisha 1?