Nami niongeze moja, sijui utaliweka upande upi, wa mafanikio yake au mapungufu yake.Hongera kwa kutumia uhuru wako wa kutoa maoni
Kuwawezesha wazee wako angalau kupata kielimu kidogo kilichowasaidia wakati walipokuzaa wewe kuona umuhimu wa kukupeleka shule ili upate mwanga, hata kama ulichokipata huko ni sehemu ya mawazo potofu.
Kwa mfano: kutoweza kutambua kwamba lugha ya kiswahili siyo tatizo la hayo unayolalamikia hapo.