Hii ndiyo orodha ya maamuzi ya ovyo kuwahi kufanyika Tanzania

La kwanza kabisa ni Nyerere kudai uhuru 1961, alitukosea sana yule mzee na mitamaa yake ya uongozi. La pili ni kuungana kwa Tanganyika na Zanzibar, hapo ndo tulikosea mazima.
Unadhani ilikuwa vyema kudai uhuru mwaka gani hebu fafanua.
 
Kubwa kabisa ni katiba kuruhusu makamu wa rais arithi inapotokea rais amefariki.hiki kifungu kwa sasa kinatupa shida kwa sababu aliyerithi hana uwezo wa kuongoza.Kila siku nchi anaiharibu tu .warithi ni hasara kwa maendeleo ya nchi yetu tanganyika
 
Ukiacha suala la bandari, kwenye bandiko hili nakuunga mkono kwa zaidi ya 90%
 
1. Waingereza kumpa JKN kuwa Waziri Mkuu na Raisi wa Kwanza wa nchi.
Hayo yote yanayofuata ni Sababu zilizotokana na uongozi wake.
 
Unastahi kupongezwa
 
Kubwa kabisa ni katiba kuruhusu makamu wa rais arithi inapotokea rais amefariki.hiki kifungu kwa sasa kinatupa shida kwa sababu aliyerithi hana uwezo wa kuongoza.Kila siku nchi anaiharibu tu .warithi ni hasara kwa maendeleo ya nchi yetu tanganyika
Haina shida hii. Inarahisisha peaceful transfer of power na kuepusha gharama zisizo za msingi
 
Hongera kwa kutumia uhuru wako wa kutoa maoni.
 
8. Kuruhusu Magufuli awe rais wa Tanzania
 
Watu milioni 10 kuungana na watu laki tatu.
Tungeungana na Kenya au Zambia ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…