Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Za usiku siku imeendaje?
Ilikuwa hivi nilikuwaga nakaa mkoani basi nikaenda kumtembelea binamu yangu nilikuwa natokea Mtwara nikanunua korosho nimpeleke zawadi nikampa nilipo fika sasa nikiwa najianda kwenda kuoga nikasia wanaongea itakuwa kanunua buku buku wana lahisisha mamb basi nikapotezea
Wanaoishi Mtwara nadhani wanajua bei za korosho zilivyo juu
Sasa siku nyingine binamu yangu alikuwa kapata mtoto sasa ilipita miaka 2 sijaenda kumuona siku naenda nilibeba kitenge na khanga nikampa siku nyingne kwakuwa yule mtoto alikuwa ananipenda sana nikapita karume nikaona nguo za watoto mzuri nikanunua nimpeleke mtoto zawadi zilikuwa za mtumba nilipo mpelekea wakapokea wakasema mzuri asante wakaenda chumban mh nikawasikia wanasema kwani huyu ameambiwa huyu mtoto anavaa nguo za mtumba embu ziweke pembeni uko niliumia san mpaka nikasema siludi tena
Siku nyingine nilikuwa natokea moshi naenda dar nikafikia kwa aunt yangu nikawabebea samaki pamoja na kambale samaki wengine niliwa tuma kwa mama sasa zile mboga hawakupika mpaka wakaoza niliumia
Sasa juzi nikawa napita maeneo nikapitia kwa binamu yangu nilienda mikono mitupu sasa nikafika nikawasalimia nikaaga wakasema uncle wako anataka zawadi anasema leo ujambebea nikazuga nikatoa 5000
Watu wengi tunao hish dar tabia hii mnayo sana