Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #21
hpo af mtu unasema ngoja niwafularahisheWalimwengu ni kukaa nao kiroho mbaya tu.
Bora waseme huwajali.
Wao ni nani mpaka wakupangie cha kuwapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hpo af mtu unasema ngoja niwafularahisheWalimwengu ni kukaa nao kiroho mbaya tu.
Bora waseme huwajali.
Wao ni nani mpaka wakupangie cha kuwapa
Ahahahahan mpbka nimekucheka hila pole ndio walivyoNimewabebea dagaa .Tena wale dagaa safi ndoo
nzima. Wakawa chakua Cha mbwa..
Mpaka leo sitopeleka mboga aina yoyote iwe samaki au dagaa.
Ndugu..tuwaheshimu watu wanao tujali. Nikweli tunazidiana aina za maisha tujifunze pia kuwathamini tunao wazidi vipato au Elimu.
WEWE UNA NYOTA YA BUNDI NA PEPO LA KUKATALIWA.
NJOO BONYOKWA NIKUWEKEE MIKONO NIKUPE NA MAFUTA YA UPAKO!
Atavaa maana napenda mtumba vitu unique sio saresare maua[emoji16]Sasa kama mama maisha yamekuwa super hivi kweli utamvisha mtumba junior?[emoji16]
Kwa taarifa yako Mimi ni kijukuu cha FATHER NKWERA, maparoko wote wanaujua muziki wetu!We baba paroko kashaniombea sitak maombi ya kelele na si shawishiwi kwa mafuta ya upako siku nitakuja na uzi wenu unao husu hayo mafuta
Yani me kusema kweli moyo wa unafki hua Sina......wangesema uncle wako anataka zawadi ningekwambia Kuna siku nlileta nguo za mtumba mkaanza kuropoka huko chumbani........🤣🤣🤣Za usiku siku imeendaje?
Ilikuwa hivi nilikuwaga nakaa mkoani basi nikaenda kumtembelea binamu yangu nilikuwa natokea mtwara nikanunua korosho nimpeleke zawadi nikampa nilipo fika sasa nikiwa najianda kwenda kuoga nikasia wanaongea itakuwa kanunua buku buku wana lahisisha mamb basi nikapotezea
Wanao hish mtwara nazani wanajua bei za korosho zilivyo juu
Sasa siku nyingine binamu yangu alikuwa kapata mtoto sasa ilipita miaka 2 sijaenda kumuona siku naenda nilibeba kitenge na khanga nikampa siku nyingne kwakuwa yule mtoto alikuwa ananipenda sana nikapita karume nikaona nguo za watoto mzuri nikanunua nimpeleke mtoto zawadi zilikuwa za mtumba nilipo mpelekea wakapokea wakasema mzuri asante wakaenda chumban mh nikawasikia wanasema kwani huyu ameambiwa huyu mtoto anavaa nguo za mtumba embu ziweke pembeni uko niliumia san mpaka nikasema siludi tena
Siku nyingine nilikuwa natokea moshi naenda dar nikafikia kwa aunt yangu nikawabebea samaki pamoja na kambale samaki wengine niliwa tuma kwa mama sasa zile mboga hawakupika mpaka wakaoza niliumia
Sasa juzi nikawa napita maeneo nikapitia kwa binamu yangu nilienda mikono mitupu sasa nikafika nikawasalimia nikaaga wakasema uncle wako anataka zawadi anasema leo ujambebea nikazuga nikatoa 5000
Watu wengi tunao hish dar tabia hii mnayo sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tena hadi mihogo mibichi[emoji23]Je wanaotoka mjini wanaenda kijijini na Boflo wanaporudi mjini wanabeba mizigo zaidi ya thamani ya Boflo hao vp?
Usifurahishe mtu utakuja kunishukuru baadaehpo af mtu unasema ngoja niwafularahishe
Nilijaribu kuwafurahisha watu nimeishia kuwa adui mkubwa kwao kwa kitu changu mwenyewe. Sasahivi sina mda na kufurahisha yoyote zaidi ya nafsi yangu tu.Usifurahishe mtu utakuja kunishukuru baadae
Majogoo yakuendeleza ukoo yanakamatwa pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tena hadi mihogo mibichi[emoji23]
Nimewabebea dagaa .Tena wale dagaa safi ndoo
nzima. Wakawa chakua Cha mbwa..
Mpaka leo sitopeleka mboga aina yoyote iwe samaki au dagaa.
Ndugu..tuwaheshimu watu wanao tujali. Nikweli tunazidiana aina za maisha tujifunze pia kuwathamini tunao wazidi vipato au Elimu.
hahahahaaaaaaaaaaaaaNimewabebea dagaa .Tena wale dagaa safi ndoo
nzima. Wakawa chakua Cha mbwa..
Mpaka leo sitopeleka mboga aina yoyote iwe samaki au dagaa.
Ndugu..tuwaheshimu watu wanao tujali. Nikweli tunazidiana aina za maisha tujifunze pia kuwathamini tunao wazidi vipato au Elimu.