Hii ndiyo sababu iliyonifanya hata nikienda kumtembelea ndugu yangu sibebi zawadi

Ahahahahan mpbka nimekucheka hila pole ndio walivyo
 
WEWE UNA NYOTA YA BUNDI NA PEPO LA KUKATALIWA.

NJOO BONYOKWA NIKUWEKEE MIKONO NIKUPE NA MAFUTA YA UPAKO!
 
Hao ndugu zako hawana utu hata kidogo, ukipewa zawadi unashukuru ikiwa haikufahi au hujapendezwa nayo unaitunza vizuri ipo siku atatokea mtu mwingine unampatia tena itamfaa sana kuliko kuonyesha mbele ya mtu aliyekupatia kwamba hujaipenda.

Pole kwa hayo yaliyokutokea.
 
We baba paroko kashaniombea sitak maombi ya kelele na si shawishiwi kwa mafuta ya upako siku nitakuja na uzi wenu unao husu hayo mafuta
Kwa taarifa yako Mimi ni kijukuu cha FATHER NKWERA, maparoko wote wanaujua muziki wetu!
 
Yani me kusema kweli moyo wa unafki hua Sina......wangesema uncle wako anataka zawadi ningekwambia Kuna siku nlileta nguo za mtumba mkaanza kuropoka huko chumbani........🀣🀣🀣
 
Je wanaotoka mjini wanaenda kijijini na Boflo wanaporudi mjini wanabeba mizigo zaidi ya thamani ya Boflo hao vp?
 
Je wanaotoka mjini wanaenda kijijini na Boflo wanaporudi mjini wanabeba mizigo zaidi ya thamani ya Boflo hao vp?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tena hadi mihogo mibichi[emoji23]
 
Hii scenerio imeshawapata wengi inaumiza sana
 
hahahahaaaaaaaaaaaaa



aiseeeeeeeeeeeeeeee

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚apechealoloooooooooooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ wanajifanya na uzungu mwingi sana sio eeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ blalfakin
 
Ngugu zako akili zao za kiduwanzi sana piga spana za kichwa hao
 
Wengine hatubebagi zawadi. Kwanza kutembea na mizigo ni usumbufu.
Tunaenda mikono kitupu tunaondoka mikono kitupu.
Tukifika huko ugenini tukishasalimia ndio tunaenda kununua mahitaji kulingana na Mazingira ya wenyeji wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…