Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Lakini SI Bora hata angemdanganya kuwa kapata dhalula! Kuliko kumwacha Hadi Ile laki iishie guest huku hata nauli hajatoaPole sana. Sababu ya huyo jamaa kukutelekeza, ilikuwa iko wazi kabisa.
Yaani matarajio yake yalikuwa ni tofauti kabisa na kile alicho kitegemea kutoka kwako/ alichokiona/alichokikuta kule chumbani.
Hivyo hutakiwi kumlaumu. Maana chanzo ni wewe mwenyewe.