ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Mkuu mimi nikisikia pwa pwa pwa nasuuzika nafsi hadi roho, ta ta ta....aaah!!Hivi kumbe Zina tofauti eeeh?
Aaah nishaelewa, Basi POA.
Napendaga ta ta ta...Kisha pwa pwa pwa.[emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi nikisikia pwa pwa pwa nasuuzika nafsi hadi roho, ta ta ta....aaah!!Hivi kumbe Zina tofauti eeeh?
Aaah nishaelewa, Basi POA.
Napendaga ta ta ta...Kisha pwa pwa pwa.[emoji38]
Kwakweli nmewaachia nyie, zishanishinda[emoji38]Wewe baki na pwa pwa hizi ta ta ta tuachie sisi[emoji28]
Hata huyu ni swala la muda tu, hizi tuhuma ni nzito sana😂Ujue Hii story
Nmemkumbuka cutelove vs Maghala
Hivi hivi binti alikimbiwa gesti akaachiwa Elfu 7 mezani, Alipokuja anzisha Uzi kumlalamikia jamaa, jamaa hasira zikampanda akamwaga ugali kwa kuanzisha Uzi mwngn against yeye.
Binti aliona aibu sn Hadi I'd yake skuhz siion kabisa,sjui kaitelekeza au vipi[emoji4]
Humu watu hawaondoki wanakuja na ID mpya kila siku, kama we ni mjanja wa kuunganisha dot unawadaka wengi tu!Ujue Hii story
Nmemkumbuka cutelove vs Maghala
Hivi hivi binti alikimbiwa gesti akaachiwa Elfu 7 mezani, Alipokuja anzisha Uzi kumlalamikia jamaa, jamaa hasira zikampanda akamwaga ugali kwa kuanzisha Uzi mwngn against yeye.
Binti aliona aibu sn Hadi I'd yake skuhz siion kabisa,sjui kaitelekeza au vipi[emoji4]
Hapo sawa 😀😀Hivi kumbe Zina tofauti eeeh?
Aaah nishaelewa, Basi POA.
Napendaga ta ta ta...Kisha pwa pwa pwa.[emoji38]
Pole sana figo kwa yaliyokupata, uwe makini! WATEJA wengine ni pasua kichwa sana na sio wastaarabu kabisaKazoea kununua malaya wa mtaani kwao ndio maana wala simshangai
Weka tag tukajionee😅Humu watu hawaondoki wanakuja na ID mpya kila siku, kama we ni mjanja wa kuunganisha dot unawadaka wengi tu!
Juzi Kuna jamaa alikua anatoa story anasema ni hadithi lkn mle kwenye hadithi naona kbs mi nimehusika baadae nkamwambia we ni flan nikampa details baadhi ya details zake, kakimbia uzi wake na story imekoma
Ha ha ha .....aisee, itabd nianze kufatiliaHumu watu hawaondoki wanakuja na ID mpya kila siku, kama we ni mjanja wa kuunganisha dot unawadaka wengi tu!
Juzi Kuna jamaa alikua anatoa story anasema ni hadithi lkn mle kwenye hadithi naona kbs mi nimehusika baadae nkamwambia we ni flan nikampa details baadhi ya details zake, kakimbia uzi wake na story imekoma
😀😀😀😀Degree yako ya pili either ukiipatia Cuba au Russia [emoji28][emoji28]
😅😅😅😅😅Tunatofautiana sana, pwa pwa kama sio mbobezi unaweza kuzira ukasusa njiani
Mm sipo mkoani...tuyajenge bac!Ilikuwa siku mmoja nilikuwa kwenye mapenzi na kijana mmoja wa mwanza tulikutana ofisi fulani baada ya mazoea ya pale aliomba namba nikampa tukawa tunawasiliana kawawaid kila siku mpaka nikajikuta nimeingia kwenye mapenzi nikajikuta nampenda sana mimi na wivu jamani ukiwa na mimi unatakiwa uwe mvumilivu kidogo.
Tulipanga siku ya mimi kwenda mwaza siku ilipofika nilijipanga vizuri nikiwa na basasha nyingi sana ya kukutana nae na kutokana na utani mwingi kipindi cha nyuma nikawa naona safari ndefu sana.
Baada ya kufika siku ya kwaza alinipokea akanipeleka hotel mzuri tu nili lala nae usiku mzima kesho yake morng aliniaga anaenda kazini alinipa pesa ya dharura laki moja kumbee chumba hajalipa nimekaa pale siku tatu mtu hajatokea nikipiga simu apokei kisa sikijui nililipa na kurudi zangu kwetu bila kumpa taarifa.
Ndipo nilipo fika akaanza jiongeleshq oh mimi nilikuwa nimebanwa simu iliisha chaji samahani ulitumia kiasi gani nikupe niliona upumbavu nika kata simu mpaka leo siwezi kumsafiria mwanaume ata awe nakaa nae mkoa mmoja ila wilaya tofauti siwezi.
Ha ha ha....aombe sn ngosha asiwe na id humu[emoji4]Hata huyu ni swala la muda tu, hizi tuhuma ni nzito sana[emoji23]
Mambo ya kuchezea koki au sioMkuu mimi nikisikia pwa pwa pwa nasuuzika nafsi hadi roho, ta ta ta....aaah!!
Ewaaa mkuu umesomea Cuba[emoji28][emoji28]Mambo ya kuchezea koki au sio
Hahaha [emoji1787] mambo safi sanaEwaaa mkuu umesomea Cuba[emoji28][emoji28]
Huko aliko nazani anajuta, hakujua kama mashabulizi yatahamia kwake.Ha ha ha....aombe sn ngosha asiwe na id humu[emoji4]
Kachomwa na kakitu ka ncha kali 🤣
Ni hurumaKachomwa na kakitu ka ncha kali 🤣
Ulivyo du na huyo muhuni hapo hoteli, uli enjoy? Je yeye uliona Kama alii enjoy au aliombea kuche awahi kwa mke wake na kusimulia wahuni wenzake?Kumbe ndivyo anavyo fanya dada yako