DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Ha ha ha .....mchokoz Sana wewe,Hakika huwezi sema[emoji3][emoji3]
Maana ake jamaa alikuta yaliyomo hayamo kama alivyotegemea
Au ali expect ta ta ta ta ta akakuta pwa pwa pwa pwa [emoji28][emoji28]
Mi ishanikuta Sana nilipokua natafta mbadala wa mamaJ.
Unajua mi napenda Sana pwa pwa pwa.
Sasa unakuta mtu anakwambia ukimuona ke flan Yuko hivi sehem flan,jua uko ndani Ni pwa pwa pwah.
Sasa unabahatika kumuona binti Kama ulivoelekezwa,matarajio yanakua juu mno.
Mnafika chumban siku ya kwanza hamna kitu, hata dalili hamna, unabaki kujilaumu ,gharama ulizotumia na kusema Bora ulikotoka.
Kiustaarabu Unampa posho Yake need asjiskie vby, ila ukitoka hapo Ni nduki hutak mazoea Tena.
Maana ukiendekeza mazoea utajikuta unaendekeza utitiri wa mahusiano yasiyo na faida.
Mwisho wa siku narud kwa mamaJ natulia[emoji85]