stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Hapo nimekuelewa boss Ila madam figo76 alikua ameambiwa kua bwana mkubwa anaenda job akitoka atamkuta aje apigwe tena mechi nyingine na inaonyesha hakutosheka na mechi ya mwanzo na Pesa ya advance aliona haijatisha basi akabidi amsubirie siku 3 labda angeshikwa na upwilu akaenda kupiga tena mechi nyingine, narudia figo76 sio Malaya msimfukie vibaya hivyo mnamkosea heshima yeye ni kumpa jina zuri km Financial Service Woman maana anafanya kazi kwa faidaWee ndo utakua ujaelewa mkuu,
Ngosha alipiga kimoja,kulipokucha kaaacha laki mezani akapotea mazima.
Sio kwamba alitoa laki kabla ya kulalana[emoji4]