Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
sema kimeumana 🤣🤣🤣🤣Upepo umebadilika, naona vijana mnaham ya kujadili mauno yetu wana mwanza eeehhh🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sema kimeumana 🤣🤣🤣🤣Upepo umebadilika, naona vijana mnaham ya kujadili mauno yetu wana mwanza eeehhh🤣
Ahaha tulikuta ofis fulani nasio mtamdaon kama unavyo okota hao unao waokotoaAliona huna mvuto. Mbona simple tu. Na ushukuru alikupa hata hiyo 100, 000 wengine huwa wanaachwa kwenye mataa. Mkiambiwa tumeni picha zenu mnatuma zilizo filtered. Hamuwi wakweli...
Delivery mikoani imekua changamoto! Wateja sio waaminifu
Badala ya kumlaumu jamaa, alipaswa ajitafakari yeye mwnyw binti Tatizo liko wapi.Cha kumshauri siku nyingine akipata mwingine asikubali kwenda mpaka ahakikishe Tigbima imelipwa,na ahakikishe muamala umesomeka kwenye Tigo sms..........by the way pole yake alikutana na muhuni wa dunia
Mtoa mada pole Sana
Sikuzote mwonekano wa nje
Ni tofaut na mwonekano wa ndani
Alivotarajia ungekua,
hukua kama alivokukuta
Wanaume wengi Ni wahanga wa hili janga
Mliowahi kulazwa mzena MSHANIELEWA[emoji4]
Sija mlaumu bali ni vile tu sijataka kuweka story nzima hapa na ili tukio la muda kidogo sasa jana alinitafuta ndio nikakumbuka na mwaza sikuenda kwa sababu yake pekee kipo kilicho nipeleka kule na ndio maana sikuona shida kulipia bill ingekuwa nimfwata yeye tu bas ningeomba omba watuAnabishia uzoefu huyo,
Hili tukio lilikua Ni ishara tosha ya yeye kujitafakari na Sio kulaumu Wanaume.
Kwanza tukio la hivi kuleta humu lazima watu wakutafsiri tofauti japo Nia Yake Huenda ikawa nzuti
Wanaume tulivo na uroho wa papuchi, umlipie nauli mwanamke,uchukue hotel afu eti ukampige kimoja upotee mazima.
Sio Hali ya kawaida kabisa[emoji4]
Well said, wewe ni mwanadamizi kabisa kwenye hizi harakati.Badala ya kumlaumu jamaa, alipaswa ajitafakari yeye mwnyw binti Tatizo liko wapi.
Ingekua Ni mhuni Basi hata iyo laki asingemuachia,angemtoroka kimya kimya.
Hapo Tatizo Ni binti Sio jamaa,
Na laiti jamaa nae angepewa nafas ya kufunguka,Basi najua Hali ya hewa ingechafuka hapa.
Wanaume tunabeba mengi sn kifuani,
Ni ngumu sn kumchana mwanamke Moja Mbili tatu, unamuonea huruma unampa nauli aende zake tu kwa amani.
Pole sanaLakin hatujiuzi kama wewe unavyo uza matako yako ukiyaatikisa na kujishika kiuno
Tuliowahi kulazwa mzena hospital TUSHAELEWA[emoji38][emoji85]Au ngosha aliingia pangolin akanona isiwe tabu nini [emoji28][emoji28][emoji28]
Manake kwa harakati hizi kukutana na amboni laweza kuwa jambo la kawaida tu kwa sasa[emoji28][emoji28]
Nna imani hayawahi kukukuta[emoji4][emoji16][emoji16][emoji16]Aisee
Sahii mkuu,Well said, wewe ni mwanadamizi kabisa kwenye hizi harakati.
Kuna tatizo la kiufundi mahali, sio lahisi kususa mbususu.Sahii mkuu,
Wanaume Sio waongeaji, Sio walalamishi
Usikute jamaa uko anaumia kuliko anavyoumia binti kwa muda nagharama alizopoteza + usaliti aliomfanyia mkewe.
Mimi muoga kwa kweli huwa nawaza nikifa huko kwa kuchunwa ngozi huwa nawaza mambo ya hatari tupu nikifikilia hapo tu siendi 🙇🏼♀️Nna imani hayawahi kukukuta[emoji4]
Umemkumbuka baada ya Jana kukutafuta?Sija mlaumu bali ni vile tu sijataka kuweka story nzima hapa na ili tukio la muda kidogo sasa jana alinitafuta ndio nikakumbuka na mwaza sikuenda kwa sababu yake pekee kipo kilicho nipeleka kule na ndio maana sikuona shida kulipia bill ingekuwa nimfwata yeye tu bas ningeomba omba watu
Ndo maana mtoa mada Watu wanamuona wa ajabu sn, wengine wanamtolea kaul kua anajiuza anatukana.Mimi muoga kwa kweli huwa nawaza nikifa huko kwa kuchunwa ngozi huwa nawaza mambo ya hatari tupu nikifikilia hapo tu siendi [emoji2312]
Aijasema nime mmis ila nikakumbuka ili tukio jiongezi panapo ongezaka na pasipo ongeza usijiongezeUmemkumbuka baada ya Jana kukutafuta?
Kwahiyo unadhan kwamba kukutafuta ndo ishara kwamba kamiss sn show zako za kipind kile au vipi?
Nikwambie tu Mtoa mada bado una Safar ndefu Sana kutujua sisi Wanaume.
Kuna MDA tukiwa idle na nyeg ziko juu Unaweza tamani uparamie hata mgomba ulio mbele ya nyumba yako.
Hata mwehu Akikaa uchi Unaweza mparamia,pua ukaziba ukaingiza hivyo hivyo.
Ila Sio kwamba ukiwa na akili zako timamu,unasehemu ya kueleweka ya kutua haja zako utahangaika namna hiyo.
SIJUI UNANIELEWA VZUR AU BADO?
Labda anataka kukurudishia pesa zako,Aijasema nime mmis ila nikakumbuka ili tukio jiongezi panapo ongezaka na pasipo ongeza usijiongeze