Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Ilikuwa siku mmoja nilikuwa kwenye mapenzi na kijana mmoja wa mwanza tulikutana ofisi fulani baada ya mazoea ya pale aliomba namba nikampa tukawa tunawasiliana kawawaid kila siku mpaka nikajikuta nimeingia kwenye mapenzi nikajikuta nampenda sana mimi na wivu jamani ukiwa na mimi unatakiwa uwe mvumilivu kidogo

Tulipanga siku ya mimi kwenda mwaza siku ilipofika nilijipanga vizuri nikiwa na basasha nyingi sana ya kukutana nae na kutokana na utani mwingi kipindi cha nyuma nikawa naona safari ndefu sana

Baada ya kufika siku ya kwaza alinipokea akanipeleka hotel mzuri tu nili lala nae usiku mzima kesho yake morng aliniaga anaenda kazini alinipa pesa ya dharura laki moja kumbee chumba hajalipa nimekaa pale siku tatu mtu hajatokea nikipiga simu apokei kisa sikijui nililipa na kurudi zangu kwetu bila kumpa taarifa

Ndipo nilipo fika akaanza jiongeleshq oh mimi nilikuwa nimebanwa simu iliisha chaji samahani ulitumia kiasi gani nikupe niliona upumbavu nika kata simu mpaka leo siwezi kumsafiria mwanaume ata awe nakaa nae mkoa mmoja ila wilaya tofauti siwezi
Uwe mkweli tu, ww unajiuza. Tujue bei ili tuje kupata huduma fasta. Miezi ya baridi inakuja, unaweza kutufaa zmsana!
 
Laki moja!? Alijitahidi saana... Kwahyo unalalamika nn!? Kukimbia gharama au hukutosheka na huduma ya usiku mmoja!??

Any way, huenda huduma yako haikuwa mzuri saana akaona haina haja.
 
Kwani mama ako aliacha kujiuza? Maana anasifiwa kwa huduma
 
Yaah mzuri ya dada ako ndio maana aliniibua mume
 
Alafu nakuhisi kitu, Kuna uzi mmoja hivi pia uliandika kuhusu kutoridhika na huduma ya njema uliyekutana nae insta, leo unaleta hi.. inawezekana wewe ndo huduma yako mbovuuuuuu.

Ndo maana hudumu nao.
 
Kwani mama ako aliacha kujiuza? Maana anasifiwa kwa huduma
Kumbe ndio maana ukaachwa kwenye mataa upambane na hali yako. Nani angevumilia mdomo mchafu kama huu! Hata hivyo mkaka wa watu muungwana sana mpaka kakuachia na laki kabisa na bado hushukuru!! Duh..,.. Mie ningekuachia deni zima ukomaenalo mwenyewe, na asali nishapakua! Hahahaha.....
Badilika, vinginevyo utabaki mteja wa matango!!?
 
Una tumajibu twa kejeli kejeli na tumatusi twa chini chini. Pengine hutu ndo tunakuponzaga sometimes mpaka unakimbiwa. Achana nato bana. Pisi kali haipaswi kuwa na dharau na matusi tusi [emoji16]
Pisi kali ya wapi ndugu, pisi mbovu tu hii! Angekuwa pisi kali jamaa angeendelea kufaidi na wala asingekimbia! Pisi kali haijiuzagi. Inafuatwa, haijipeleki kudanga!
 
Acha nibaki na mdomo mchafu lkn ujue uliingizwa kingi kindezi ndezi.
Sawa ila nilitumia pesa yangu hotel kwa siku 70000 unaweza kulipia wewe na kengele zako izo ambazo zina makunyazi kama shuka la mtumba?
 
Kumbe ndio maana ukaachwa kwenye mataa upambane na hali yako. Nani angevumilia mdomo mchafu kama huu! Hata hivyo mkaka wa watu muungwana sana mpaka kakuachia na laki kabisa na bado hushukuru!! Duh..,.. Mie ningekuachia deni zima ukomaenalo mwenyewe, na asali nishapakua! Hahahaha.....
Badilika, vinginevyo utabaki mteja wa matango!!?
Ahahajidanganye jang mjibu hyo
 
Ahahahah badolika wewe kwakupenda msererko na mtoto wakiumee
 
Back
Top Bottom