Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Lakini SI Bora hata angemdanganya kuwa kapata dhalula! Kuliko kumwacha Hadi Ile laki iishie guest huku hata nauli hajatoaPole sana. Sababu ya huyo jamaa kukutelekeza, ilikuwa iko wazi kabisa.
Yaani matarajio yake yalikuwa ni tofauti kabisa na kile alicho kitegemea kutoka kwako/ alichokiona/alichokikuta kule chumbani.
Hivyo hutakiwi kumlaumu. Maana chanzo ni wewe mwenyewe.
π€£π€£π€£π€£Eti bila urithi,sio kiinua mgongo?Bora alikupa 100k angekutoa bila mrithi he
Pole sana
Huyo ni mvula na sio mwanaume
Fukua makaburi chiefAlafu nakuhisi kitu, Kuna uzi mmoja hivi pia uliandika kuhusu kutoridhika na huduma ya njema uliyekutana nae insta, leo unaleta hi.. inawezekana wewe ndo huduma yako mbovuuuuuu.
Ndo maana hudumu nao.
Kuna mahali mwenye Uzi Kasema waligombana asubuhi; na Kwa haya majibu anayoyatoa humu anaonekana yeye ndio tatizo.Badala ya kumlaumu jamaa, alipaswa ajitafakari yeye mwnyw binti Tatizo liko wapi.
Ingekua Ni mhuni Basi hata iyo laki asingemuachia,angemtoroka kimya kimya.
Hapo Tatizo Ni binti Sio jamaa,
Na laiti jamaa nae angepewa nafas ya kufunguka,Basi najua Hali ya hewa ingechafuka hapa.
Wanaume tunabeba mengi sn kifuani,
Ni ngumu sn kumchana mwanamke Moja Mbili tatu, unamuonea huruma unampa nauli aende zake tu kwa amani.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha....aombe sn ngosha asiwe na id humu[emoji4]
Hukurud Moja kwa Moja?[emoji38]USIKUTE ULIKUWA UNANUKA KISAMAKI[emoji23][emoji23]
NILIWAHI KUKUTANA NA DEMU KAM HUYO NILIPIGA ROUND 1 TU BADAE NIKAMUAGA KUWA NAENDA KAZINI MARA MOJA KUNA DHARURA ILA NAGEUKA
KIMOJAAAAAAA
Hukurud Moja kwa Moja?[emoji38]
Leejay49 Wizo ukorofi huoπ€£π€£π€£ππββοΈπββοΈπββοΈusinifanyie hivyo wizo tafadhali π πππ
Hakika. Unaona humu anamkasirikia kila mtu wakati ngono walifanya wao, sisi hatukuwepo!!!Kuna mahali mwenye Uzi Kasema waligombana asubuhi; na Kwa haya majibu anayoyatoa humu anaonekana yeye ndio tatizo.
Wkt mwingine sio sahihi kusikiliza maelezo ya upande mmoja.Tena malayer umbwaaaaa
Umewaza kama pele mkuu.Huduma yako huwa unaitoa kwa bei gani?
Kwa hii mitoto ya sikuhizi inaezekana sana. namm sishangai huyo jamaa kula zake kona. Hawanywi maji ya kunywa ya kutosha na mboga za majani hawataki kuzisikia. Wao ni chipsi mayai na soda pepsi au koka basi. Sasa matokeo yake ndo hayo. Mtu anatoa harufu ya kisamaki huko uchin yani utafikiri mko feri pale magogoni kumbe mpo rwagasore mwanza tena chini ya kiyoyozi.USIKUTE ULIKUWA UNANUKA KISAMAKI[emoji23][emoji23]
NILIWAHI KUKUTANA NA DEMU KAM HUYO NILIPIGA ROUND 1 TU BADAE NIKAMUAGA KUWA NAENDA KAZINI MARA MOJA KUNA DHARURA ILA NAGEUKA
KIMOJAAAAAAA
Si amesema alipewa laki! Kwa night moja inatosha .Shida lengo lake lilikua ni kupata pesa coz inaonyesha alikua amejazwa upepo.Mi najifurahisha tu mpendwa usinichukulie siriazi.
Itoshe tu kusema huyo ngosha mwenzetu alizingua. Sasa usingekuwa na pesa za kulipia hizo siku tatu ulizokaa hapo ingekuwaje? Hata kama alikuta yaliyopaswa kuwemo hayamo, hakupaswa kufanya hivyo. Angalau angelipia hiyo huduma ya usiku mmoja ndiyo atokomee zake. Pole sana!