Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Itanibidi maana naona vikwazo dhidi ya wamikoani vinaongezeka.Fanya fasta boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itanibidi maana naona vikwazo dhidi ya wamikoani vinaongezeka.Fanya fasta boss
Exactly, jamaa alikutana na "unexpected" creature akakimbia kimya kimya...Mtoa mada pole Sana
Sikuzote mwonekano wa nje
Ni tofaut na mwonekano wa ndani
Alivotarajia ungekua,
hukua kama alivokukuta
Wanaume wengi Ni wahanga wa hili janga
Mliowahi kulazwa mzena MSHANIELEWA[emoji4]
Niko hapa naomba uje mbeyaIlikuwa siku mmoja nilikuwa kwenye mapenzi na kijana mmoja wa mwanza tulikutana ofisi fulani baada ya mazoea ya pale aliomba namba nikampa tukawa tunawasiliana kawawaid kila siku mpaka nikajikuta nimeingia kwenye mapenzi nikajikuta nampenda sana mimi na wivu jamani ukiwa na mimi unatakiwa uwe mvumilivu kidogo.
Tulipanga siku ya mimi kwenda Mwanza, siku ilipofika nilijipanga vizuri nikiwa na bashasha nyingi sana ya kukutana nae na kutokana na utani mwingi kipindi cha nyuma nikawa naona safari ndefu sana.
Baada ya kufika siku ya kwanza alinipokea akanipeleka hotel nzuri tu, nililala nae usiku mzima kesho yake morng aliniaga anaenda kazini alinipa pesa ya dharura laki moja kumbee chumba hajalipa nimekaa pale siku tatu mtu hajatokea nikipiga simu apokei kisa sikijui nililipa na kurudi zangu kwetu bila kumpa taarifa.
Ndipo nilipofika akaanza jiongelesha oh mimi nilikuwa nimebanwa simu iliisha chaji samahani ulitumia kiasi gani nikupe niliona upumbavu nikakata simu, mpaka leo siwezi kumsafiria mwanaume hata awe nakaa nae mkoa mmoja ila wilaya tofauti siwezi.
Mwisho wa siku wanasema 'maisha ni magumu'.Kwakweli ni kukosa kazi za kufanya
Wakat muda wa kuboresha maisha ya watoto wao wanautumia vibayaMwisho wa siku wanasema 'maisha ni magumu'.
Bora hata hela kakupaIlikuwa siku mmoja nilikuwa kwenye mapenzi na kijana mmoja wa mwanza tulikutana ofisi fulani baada ya mazoea ya pale aliomba namba nikampa tukawa tunawasiliana kawawaid kila siku mpaka nikajikuta nimeingia kwenye mapenzi nikajikuta nampenda sana mimi na wivu jamani ukiwa na mimi unatakiwa uwe mvumilivu kidogo.
Tulipanga siku ya mimi kwenda Mwanza, siku ilipofika nilijipanga vizuri nikiwa na bashasha nyingi sana ya kukutana nae na kutokana na utani mwingi kipindi cha nyuma nikawa naona safari ndefu sana.
Baada ya kufika siku ya kwanza alinipokea akanipeleka hotel nzuri tu, nililala nae usiku mzima kesho yake morng aliniaga anaenda kazini alinipa pesa ya dharura laki moja kumbee chumba hajalipa nimekaa pale siku tatu mtu hajatokea nikipiga simu apokei kisa sikijui nililipa na kurudi zangu kwetu bila kumpa taarifa.
Ndipo nilipofika akaanza jiongelesha oh mimi nilikuwa nimebanwa simu iliisha chaji samahani ulitumia kiasi gani nikupe niliona upumbavu nikakata simu, mpaka leo siwezi kumsafiria mwanaume hata awe nakaa nae mkoa mmoja ila wilaya tofauti siwezi.
Mhhh atakuwa mvulana huyo sio mwanaume.Ilikuwa siku mmoja nilikuwa kwenye mapenzi na kijana mmoja wa mwanza tulikutana ofisi fulani baada ya mazoea ya pale aliomba namba nikampa tukawa tunawasiliana kawawaid kila siku mpaka nikajikuta nimeingia kwenye mapenzi nikajikuta nampenda sana mimi na wivu jamani ukiwa na mimi unatakiwa uwe mvumilivu kidogo.
Tulipanga siku ya mimi kwenda Mwanza, siku ilipofika nilijipanga vizuri nikiwa na bashasha nyingi sana ya kukutana nae na kutokana na utani mwingi kipindi cha nyuma nikawa naona safari ndefu sana.
Baada ya kufika siku ya kwanza alinipokea akanipeleka hotel nzuri tu, nililala nae usiku mzima kesho yake morng aliniaga anaenda kazini alinipa pesa ya dharura laki moja kumbee chumba hajalipa nimekaa pale siku tatu mtu hajatokea nikipiga simu apokei kisa sikijui nililipa na kurudi zangu kwetu bila kumpa taarifa.
Ndipo nilipofika akaanza jiongelesha oh mimi nilikuwa nimebanwa simu iliisha chaji samahani ulitumia kiasi gani nikupe niliona upumbavu nikakata simu, mpaka leo siwezi kumsafiria mwanaume hata awe nakaa nae mkoa mmoja ila wilaya tofauti siwezi.
Kwani mlipatana bei gani kwa usiku mmoja?Ilikuwa siku mmoja nilikuwa kwenye mapenzi na kijana mmoja wa mwanza tulikutana ofisi fulani baada ya mazoea ya pale aliomba namba nikampa tukawa tunawasiliana kawawaid kila siku mpaka nikajikuta nimeingia kwenye mapenzi nikajikuta nampenda sana mimi na wivu jamani ukiwa na mimi unatakiwa uwe mvumilivu kidogo.
Tulipanga siku ya mimi kwenda Mwanza, siku ilipofika nilijipanga vizuri nikiwa na bashasha nyingi sana ya kukutana nae na kutokana na utani mwingi kipindi cha nyuma nikawa naona safari ndefu sana.
Baada ya kufika siku ya kwanza alinipokea akanipeleka hotel nzuri tu, nililala nae usiku mzima kesho yake morng aliniaga anaenda kazini alinipa pesa ya dharura laki moja kumbee chumba hajalipa nimekaa pale siku tatu mtu hajatokea nikipiga simu apokei kisa sikijui nililipa na kurudi zangu kwetu bila kumpa taarifa.
Ndipo nilipofika akaanza jiongelesha oh mimi nilikuwa nimebanwa simu iliisha chaji samahani ulitumia kiasi gani nikupe niliona upumbavu nikakata simu, mpaka leo siwezi kumsafiria mwanaume hata awe nakaa nae mkoa mmoja ila wilaya tofauti siwezi.
Simu iliisha chaji siku tatu zote hizo? Kingine, usikute alikuacha baada kuona kuwa hauna maajabu kitandani, this one matters a lot kwetu wanaume. Mwanamke kama mzembe kitandani basi tegemea kupigwa matukio kama haya kila kukicha.Ilikuwa siku mmoja nilikuwa kwenye mapenzi na kijana mmoja wa mwanza tulikutana ofisi fulani baada ya mazoea ya pale aliomba namba nikampa tukawa tunawasiliana kawawaid kila siku mpaka nikajikuta nimeingia kwenye mapenzi nikajikuta nampenda sana mimi na wivu jamani ukiwa na mimi unatakiwa uwe mvumilivu kidogo.
Tulipanga siku ya mimi kwenda Mwanza, siku ilipofika nilijipanga vizuri nikiwa na bashasha nyingi sana ya kukutana nae na kutokana na utani mwingi kipindi cha nyuma nikawa naona safari ndefu sana.
Baada ya kufika siku ya kwanza alinipokea akanipeleka hotel nzuri tu, nililala nae usiku mzima kesho yake morng aliniaga anaenda kazini alinipa pesa ya dharura laki moja kumbee chumba hajalipa nimekaa pale siku tatu mtu hajatokea nikipiga simu apokei kisa sikijui nililipa na kurudi zangu kwetu bila kumpa taarifa.
Ndipo nilipofika akaanza jiongelesha oh mimi nilikuwa nimebanwa simu iliisha chaji samahani ulitumia kiasi gani nikupe niliona upumbavu nikakata simu, mpaka leo siwezi kumsafiria mwanaume hata awe nakaa nae mkoa mmoja ila wilaya tofauti siwezi.
Pole kwa kweli...Ilikuwa siku mmoja nilikuwa kwenye mapenzi na kijana mmoja wa mwanza tulikutana ofisi fulani baada ya mazoea ya pale aliomba namba nikampa tukawa tunawasiliana kawawaid kila siku mpaka nikajikuta nimeingia kwenye mapenzi nikajikuta nampenda sana mimi na wivu jamani ukiwa na mimi unatakiwa uwe mvumilivu kidogo.
Tulipanga siku ya mimi kwenda Mwanza, siku ilipofika nilijipanga vizuri nikiwa na bashasha nyingi sana ya kukutana nae na kutokana na utani mwingi kipindi cha nyuma nikawa naona safari ndefu sana.
Baada ya kufika siku ya kwanza alinipokea akanipeleka hotel nzuri tu, nililala nae usiku mzima kesho yake morng aliniaga anaenda kazini alinipa pesa ya dharura laki moja kumbee chumba hajalipa nimekaa pale siku tatu mtu hajatokea nikipiga simu apokei kisa sikijui nililipa na kurudi zangu kwetu bila kumpa taarifa.
Ndipo nilipofika akaanza jiongelesha oh mimi nilikuwa nimebanwa simu iliisha chaji samahani ulitumia kiasi gani nikupe niliona upumbavu nikakata simu, mpaka leo siwezi kumsafiria mwanaume hata awe nakaa nae mkoa mmoja ila wilaya tofauti siwezi.
🤣🤣Chunguza mwili wako, kinywa na kichochoro chako....
By the way, siwezi kumuacha mke wangu sikuzote tatu nilale na wewe aiseeeee...😕
Alafu humu ndani sikuna uzi wa maskhara wa kuzikula nyabe...🙄
🤣🤣🤣💯The hunter hunted
🤣🤣Tuliosoma Cuba tumekuelewa bosi ... halafu pengine pia aliyodhani kuwa yamo hayakuwamo ngosha akaona isiwe tabu 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 2633206
Khah! Hapo alieachwa ni nani?😂😂😂 atakama alinipa vzr ila kunikumbia ilikuwa sababu ya yeye kuachwa mazima sina haja nae