Hii ndiyo sababu Kuu (Kubwa) ya Mabeki Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuachwa Taifa Stars

Hii ndiyo sababu Kuu (Kubwa) ya Mabeki Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuachwa Taifa Stars

Huyu jamaa nilidhani yuko smart kumbe hakuna kitu. Nimeshangaa nimemhoji kuhusu ushirikina wa hawa wachezaji alisema tena Kwa msisitizo kuwa wanawaroga wenzao badala ya kujibu hoja katoa matusi utadhani tunafahamiana au mimi mtani wake. Then hao ndo wanaopewa zawadi kwa watu wenye michango konki jf.
Ninapewa Zawadi kutokana na Uwezo ( Ubora ) wangu Kiuwasilishaji hapa JamiiForums na siyo kwa Chuki zako, Wivu na Upumbavu wako pamoja na Wenzako baadhi hapa.

Na nitashinda sana hadi mpasuke.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
What's bread in the bone will be seen in the flesh. Asante, kuna siku yako.
Nimeshatishwa Kuuliwa ( kama ulivyonitishia hapa ) na Wakubwa kukuzidi na baadhi Wamekufa wao huku Wengine sasa wakiwa ni Wendawazimu kama Ulivyo.
 
Hizo ishu za kupigana miba ziko kitambo sana.

Nilijua zimepungua siku hizi kumbe bado zipo.

Wakiendelea hivyo hili Jina la kichwa Cha mwendawazimu sijui kama litatutoka
 
Unakubali vipi Gazeti la Mwanaspoti juu ya Ushirikina halafu unakataa Taarifa ya GENTAMYCINE ( Mshindi wa Jukwaa Bora la Michezo JamiiForums ) kwa mwaka 2022 na Wiki hii naenda kupokea / kuchukua Zawadi


Ila unapenda kujisifia sana wewe
 
Unakubali vipi Gazeti la Mwanaspoti juu ya Ushirikina halafu unakataa Taarifa ya GENTAMYCINE ( Mshindi wa Jukwaa Bora la Michezo JamiiForums ) kwa mwaka 2022 na Wiki hii naenda kupokea / kuchukua Zawadi


Ila unapenda kujisifia sana wewe
Na Sifa nazo Zinanipenda. Kuna mahala nawe Umezuiwa huko Kujisifia kama Mimi? Waswahili mna taabu mno Vichwani mwenu.
 
img_2_1667389513507.jpg
Hirizi haijifichi, kwani ya Inonga ilionekanaje?

Ushirikina wa MAKOLO upo wazi haujifichi, ni sawa na ule mliowasha moto pale South mkapigwa na fine
 
Hahahaha Genta Leo Kuna watu wamekuudhi inaonyesha,hauko kwenye mood kabisa...
Wavumilie members Wa humu ndani,wao wenyewe wanakukubali kimya kimya,sema Ndio hivyo wanajua udhaifu wako,wakikujibu
vibaya wanajua wewe ni mtu wa kupanick ndio maana wanatake fursa hiyo....
YOte Kwa yote uko vizuri sana kwenye jukwaa la Michezo,uchambuzi wako Mimi binafsi Sina shaka na wewe
 
Na Sifa nazo Zinanipenda. Kuna mahala nawe Umezuiwa huko Kujisifia kama Mimi? Waswahili mna taabu mno Vichwani mwenu.

Sina nia mbaya na wewe wala sipingani na wewe ila sometime moja bwana, mmmmhhh!!
 
Daàaà Kazi sana kumbe yeye mpiga pini wenzake khaaass mbaya sanaa
 
Sasa kama GENTAMYCINE nakuwa Informed hivi na nina Sources wangu ( Authoritave, Credible and Reliable ) kila Kona kwanini nisiwe Mshindi wa Jumla ( Bora ) wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka 2022?

Haya chukueni hii na nawaomba muiamini tena kwa 100% kwani nimeitoa kwa Mtu aliyeko katika Mamlaka Kuu ya Michezo na ana Influence Kubwa katika Kikosi na katika Utendaji.

Sababu Kuu ya Wachezaji hawa Waandamizi wa Simba SC Kuachwa katika Kikosi cha Taifa Stars ni ile ya Kupenda zile Tabia za Uswahili ( Unyangindo ) kwa Wachezaji Wenzao wa Nafasi wanacheza Wao.

Ni Kweli Kocha Mkuu wa Taifa Stars baada ya Kuwaona wakicheza na Horoya FC aliwakubali kwa Vipaji na Viwango vyao lakini pia alishaambiwa na Makocha mbalimbali kuwa ni Wachezaji Mahiri na Kuwahitaji Kikosini lakini Kikwazo Kwake kuwapata kitakuwa ni Wao kuwa Wapiga Miba / Pini Wakubwa na Kuwaumiza Wenzao ambao wameshalalamika mno TFF ( kwa Viongozi ) kuhusu hilo.

Na hata mkisikia Wameitwa / Wamejumuishwa Kikosini Taifa Stars itakuwa ni Kutuzuga tu Wadau wa Soka ili tusihoji Kuachwa Kwao, ila huko Kikosini usije Kushangaa ukiona ama hawapangwi kabisa au wako Sub lakini hawatocheza.

Kuhusu Mchezaji Mohammed Hussein Tshabalala kuwa mpiga Miba / Pini mkubwa ( japo ana Kipaji halisi cha Kucheza Mpira ) wala GENTAMYCINE sishangai sana kwani niliwahi Kumsikia Baba yake Mdogo Tshabalala akisema kuwa Mwanae Tshabalala atacheza Yeye na hakuna wa kumuweka Mkeka / Bench labda tu aamue Yeye Kutokucheza na kutaka Kupumzika.

Kwa Wale Majuha ( Msio na Akili ) ambao mtanikatalia au Kutoliamini hili rejeeni Ripoti Maalum ( Taarifa ya Uchunguzi ) ilitoka Jana katika Gazeti la Michezo la Mwanaspoti ilisema kuwa Wachezaji wengi wa Tanzania ( NBC Premier League ) ni Washirikina ( Wanaroga Wenzao ) na ni Wapenda Ngono.

Greatest Of All Time huna Uwezo wa Kushindana nami kwa Habari za Michezo na Uchambuzi wako hivyo nakusihi Chuki yako Kwangu kwakuwa nilikushinda katika Shindano haitakusaidia na nakuhakikishia nikishindanishwa nawe tena Nakushinda / Nitakushinda Asubuhi tu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume

===
Pia soma: Kusema Shomari Kapombe na Mohammedi Husein hawakuitwa Taifa Stars kwa sababu ya ulozi huo ni ukosefu wa akili nakuwavunjia heshima wachezaji
Umeandika ujinga mtupu.
 
Ninapewa Zawadi kutokana na Uwezo ( Ubora ) wangu Kiuwasilishaji hapa JamiiForums na siyo kwa Chuki zako, Wivu na Upumbavu wako pamoja na Wenzako baadhi hapa.

Na nitashinda sana hadi mpasuke.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Wacha weee!!
 
Ninapewa Zawadi kutokana na Uwezo ( Ubora ) wangu Kiuwasilishaji hapa JamiiForums na siyo kwa Chuki zako, Wivu na Upumbavu wako pamoja na Wenzako baadhi hapa.

Na nitashinda sana hadi mpasuke.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!

Sasa mkuu unapoanzisha uzi hapa si inamaana unataka kusikia na mawazo ya wengine? Kwann huwa unatumia lugha kama pumbavu,wajinga na mengine.... inamaana hutaki watu wachangie kwenye uzi wako? Na wewe unasema unaakili kuliko wote humu lakini mbona unakosa busara jamaa?

Uwasilishaji wako umekaa kinazi sana yani una mshutumu mtu mchawi kwa ushahidi gani? Tunaendelea kukustiri maana wengine ni mashabiki wa simba wastaarabu, kwani hao jamaa kuitwa timu ya taifa wewe imekuuma??
 
... ambao mtanikatalia au Kutoliamini hili rejeeni Ripoti Maalum ( Taarifa ya Uchunguzi ) ilitoka Jana katika Gazeti la Michezo la Mwanaspoti ilisema kuwa Wachezaji wengi wa Tanzania ( NBC Premier League ) ni Washirikina ( Wanaroga Wenzao ) na ni Wapenda Ngono.
Hiyo ripoti maalumu imeutaja huo ushirikina kwa maana ya imani ambayo mchezaji majeruhi ataifuata katika kujitibu kwa waganga wa kienyeji na kuacha matibabu ya kisayansi, wala haikusema ushirikina kwa maana ya wachezaji kurogana kama unavyotaka kulazimisha ieleweke.

Bahati nzuri watu tumeelimika vya kutosha kiasi cha kutaka kujua findings za tafiti na makala mbalimbali. Nakuwekea hapa hadharani ili watu humu wajue kuwa huwa unazo hadaa nyingi, na kama si hadaa, basi kuna uwezekano ni upeo mdogo wa kuchambua ripoti na makala

1679922513259.png
 
Back
Top Bottom