Hii ndiyo sababu Kuu (Kubwa) ya Mabeki Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuachwa Taifa Stars

Hii ndiyo sababu Kuu (Kubwa) ya Mabeki Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuachwa Taifa Stars

Sasa mkuu unapoanzisha uzi hapa si inamaana unataka kusikia na mawazo ya wengine? Kwann huwa unatumia lugha kama pumbavu,wajinga na mengine...
Mimi kuanzia leo nimempuuza, kauli zake si za kiungwana Wala za malezi bora.
 
Sasa kama GENTAMYCINE nakuwa Informed hivi na nina Sources wangu ( Authoritave, Credible and Reliable ) kila Kona kwanini nisiwe Mshindi wa Jumla ( Bora ) wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka 2022...
Wewe jamaa ni mfitini hakuna mfano. Nadhani una shida mahali.. Halafu moderators, kwanini mnaacha upuuzi huu jukwaani?
 
Hata tiefuefu wanapigana misumari.

Viongozi mwenye vilabu wanapigana misumari

Makocha kwenye timu moja wanapigana misumari.

Wizarani huko nako wanapigana misumari.

Hata hapa jukwaani si ajabu kuna raia wanapigana misumari.

Wabongo huwezi watenganisha na kufanyiana fitna na figisu
 
Nakubali

Hakuna asiyejua kuwa Mohammed Hussein (Zimbwe Jr) ni Mshirikina namba moja kuzidi wachezaji wote wa Tanzania bara na visiwani

Havai chupi isiyo na hirizi
Katika mazingira gani uliiona chupi yake??Samahani ana usitulazimishe mawazo mabaya!!
 
Gentamycin kaonesha taswira yake halisi!! Huyu jamaa ni wa upande wea pili tena lia lia!
 
Ushirikina hauna nafasi kwenye soka. Kama wanaweza kuroga ili wacheze vizuri kwa nini wasiende Ulaya kwenye timu kubwa zinazolipa vizuri zaidi?
 
Wachezaji wasiotumia uchawi Tanzania (Sijui sehemu nyingine) wanahesabika

Hata biashara zisizotumia uchawi Tz,zinahesabika.

Mdau:Nini siri ya mafanikio yako?

Mfanyabiashara:Ni Mungu,cha msingi usikate tamaa,pambana.
😆😂🤸 Mfanyabiashara Mhe.Msukuma ni mmoja wa watu hao.Ni mtu m-bad sana, Geita inajua siri ya utajiri wake. Unapowatukana wasomi kuwa hawana hela huwa tunamchora tu, maana utajiri wake unajulikana unapotokea.
 
Ushirikina hauna nafasi kwenye soka. Kama wanaweza kuroga ili wacheze vizuri kwa nini wasiende Ulaya kwenye timu kubwa zinazolipa vizuri zaidi?
Haya mambo huwezi kuyaelewa bwana mdogo. Swali lako ni sawa na kuuliza;kama kweli maombi (maombezi) yanaonya kwanini viongozi wa dini wasiweke Kambi hospital in ili tuokoe gharama za matibabu? Ni swali la kipuuzi la mtoto wa chekechea.
 
Back
Top Bottom