Hii ndiyo sababu Kuu (Kubwa) ya Mabeki Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuachwa Taifa Stars

Ninapewa Zawadi kutokana na Uwezo ( Ubora ) wangu Kiuwasilishaji hapa JamiiForums na siyo kwa Chuki zako, Wivu na Upumbavu wako pamoja na Wenzako baadhi hapa.

Na nitashinda sana hadi mpasuke.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
What's bread in the bone will be seen in the flesh. Asante, kuna siku yako.
Nimeshatishwa Kuuliwa ( kama ulivyonitishia hapa ) na Wakubwa kukuzidi na baadhi Wamekufa wao huku Wengine sasa wakiwa ni Wendawazimu kama Ulivyo.
 
Hizo ishu za kupigana miba ziko kitambo sana.

Nilijua zimepungua siku hizi kumbe bado zipo.

Wakiendelea hivyo hili Jina la kichwa Cha mwendawazimu sijui kama litatutoka
 
Unakubali vipi Gazeti la Mwanaspoti juu ya Ushirikina halafu unakataa Taarifa ya GENTAMYCINE ( Mshindi wa Jukwaa Bora la Michezo JamiiForums ) kwa mwaka 2022 na Wiki hii naenda kupokea / kuchukua Zawadi

Ila unapenda kujisifia sana wewe
 
Na Sifa nazo Zinanipenda. Kuna mahala nawe Umezuiwa huko Kujisifia kama Mimi? Waswahili mna taabu mno Vichwani mwenu.
 
Hahahaha Genta Leo Kuna watu wamekuudhi inaonyesha,hauko kwenye mood kabisa...
Wavumilie members Wa humu ndani,wao wenyewe wanakukubali kimya kimya,sema Ndio hivyo wanajua udhaifu wako,wakikujibu
vibaya wanajua wewe ni mtu wa kupanick ndio maana wanatake fursa hiyo....
YOte Kwa yote uko vizuri sana kwenye jukwaa la Michezo,uchambuzi wako Mimi binafsi Sina shaka na wewe
 
Na Sifa nazo Zinanipenda. Kuna mahala nawe Umezuiwa huko Kujisifia kama Mimi? Waswahili mna taabu mno Vichwani mwenu.

Sina nia mbaya na wewe wala sipingani na wewe ila sometime moja bwana, mmmmhhh!!
 
Daàaà Kazi sana kumbe yeye mpiga pini wenzake khaaass mbaya sanaa
 
Umeandika ujinga mtupu.
 
Ninapewa Zawadi kutokana na Uwezo ( Ubora ) wangu Kiuwasilishaji hapa JamiiForums na siyo kwa Chuki zako, Wivu na Upumbavu wako pamoja na Wenzako baadhi hapa.

Na nitashinda sana hadi mpasuke.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Wacha weee!!
 
Sasa mkuu unapoanzisha uzi hapa si inamaana unataka kusikia na mawazo ya wengine? Kwann huwa unatumia lugha kama pumbavu,wajinga na mengine.... inamaana hutaki watu wachangie kwenye uzi wako? Na wewe unasema unaakili kuliko wote humu lakini mbona unakosa busara jamaa?

Uwasilishaji wako umekaa kinazi sana yani una mshutumu mtu mchawi kwa ushahidi gani? Tunaendelea kukustiri maana wengine ni mashabiki wa simba wastaarabu, kwani hao jamaa kuitwa timu ya taifa wewe imekuuma??
 
Hiyo ripoti maalumu imeutaja huo ushirikina kwa maana ya imani ambayo mchezaji majeruhi ataifuata katika kujitibu kwa waganga wa kienyeji na kuacha matibabu ya kisayansi, wala haikusema ushirikina kwa maana ya wachezaji kurogana kama unavyotaka kulazimisha ieleweke.

Bahati nzuri watu tumeelimika vya kutosha kiasi cha kutaka kujua findings za tafiti na makala mbalimbali. Nakuwekea hapa hadharani ili watu humu wajue kuwa huwa unazo hadaa nyingi, na kama si hadaa, basi kuna uwezekano ni upeo mdogo wa kuchambua ripoti na makala

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…