BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Mimi kuanzia leo nimempuuza, kauli zake si za kiungwana Wala za malezi bora.Sasa mkuu unapoanzisha uzi hapa si inamaana unataka kusikia na mawazo ya wengine? Kwann huwa unatumia lugha kama pumbavu,wajinga na mengine...
Kwakuwa wewe ni popoma kama yeye, hivyo hatushangai.Dr. GENTAMYCINE kaandika mimi nikatae kama nani!
Wewe jamaa ni mfitini hakuna mfano. Nadhani una shida mahali.. Halafu moderators, kwanini mnaacha upuuzi huu jukwaani?Sasa kama GENTAMYCINE nakuwa Informed hivi na nina Sources wangu ( Authoritave, Credible and Reliable ) kila Kona kwanini nisiwe Mshindi wa Jumla ( Bora ) wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka 2022...
Kama Upumbavu ulionao.Umeandika ujinga mtupu.
Katika mazingira gani uliiona chupi yake??Samahani ana usitulazimishe mawazo mabaya!!Nakubali
Hakuna asiyejua kuwa Mohammed Hussein (Zimbwe Jr) ni Mshirikina namba moja kuzidi wachezaji wote wa Tanzania bara na visiwani
Havai chupi isiyo na hirizi
😆😂🤸 Mfanyabiashara Mhe.Msukuma ni mmoja wa watu hao.Ni mtu m-bad sana, Geita inajua siri ya utajiri wake. Unapowatukana wasomi kuwa hawana hela huwa tunamchora tu, maana utajiri wake unajulikana unapotokea.Wachezaji wasiotumia uchawi Tanzania (Sijui sehemu nyingine) wanahesabika
Hata biashara zisizotumia uchawi Tz,zinahesabika.
Mdau:Nini siri ya mafanikio yako?
Mfanyabiashara:Ni Mungu,cha msingi usikate tamaa,pambana.
Haya mambo huwezi kuyaelewa bwana mdogo. Swali lako ni sawa na kuuliza;kama kweli maombi (maombezi) yanaonya kwanini viongozi wa dini wasiweke Kambi hospital in ili tuokoe gharama za matibabu? Ni swali la kipuuzi la mtoto wa chekechea.Ushirikina hauna nafasi kwenye soka. Kama wanaweza kuroga ili wacheze vizuri kwa nini wasiende Ulaya kwenye timu kubwa zinazolipa vizuri zaidi?