Hii ndiyo sababu ya Godbless Lema kutoambatana na mkewe kwenye kesi ya Kamanda Wema sepetu Dar

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
33,895
Reaction score
20,392
Wadau, amani iwe kwenu.

Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.

Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.

Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
 
Hii nayo ni stori??
 
Hivi Lizaboni kwani lazima kila kitu unachooongea kiwe cha kuponda upinzani na kusifia CCM? Yani nilivomaliza kuisoma tu nikacheki username yako nikaconfirm doubts zangu. Kwa hiyo Lizaboni we ni nani wa Lema? Kakuvujishia hizo siri? Kwamba watakua wanakutana na Wema mara kwa mara na blah blah blah nyingine? Hivi unajua upo JamiiForums[emoji28]. Hili sio lile group lako la whatsapp la wanalumumba yani msg yako imekaa kichokozi kabisa.
 
Haya yangeandikwa na mtu mwingine yotote mwenye akili tungeyapa anagalau benefit of doubt lakini wewe Lizaboni huu ni hewa chafu; peleka huko upuuzi wako!
Kama wewe ni house boy/girl wa Lema nitakubali taarifa yako. Lakini ulichokiandika kipo wazi kabisa kuwa ni uongo tena uliokithiri. Jirekebishe mkuu Kiki haitafutwi hivyo
 
Hivi Lizaboni kwani lazima kila kitu unachooongea kiwe cha kuponda upinzani na kusifia CCM? Yani nilivomaliza kuisoma tu nikacheki username yako nikaconfirm doubts zangu. Kwa hiyo Lizaboni we ni nani wa Lema? Kakuvujishia hizo siri? Kwamba watakua wanakutana na Wema mara kwa mara na blah blah blah nyingine? Hivi unajua upo JamiiForums[emoji28]. Hili sio lile group lako la whatsapp la wanalumumba yani msg yako imekaa kichokozi kabisa.
Kamanda, kwani kwenye uzi huu kuna.mahala nimeponda upinzani? Kuwa mpole kamanda
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.

Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.

Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
kweli sasa nimeamini Lema kayashika magamba pabaya!
 
Haya yangeandikwa na mtu mwingine yotote mwenye akili tungeyapa anagalau benefit of doubt lakini wewe Lizaboni huu ni hewa chafu; peleka huko upuuzi wako!

Sasa wewe na Lizaboni jf nani anaaminika na kusomwa zaidi ya Mwingine?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.

Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.

Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
Lizabon mind your own business.Lema amaekuja Dar na Mke na watoto wake.Pole sana Katibu mwenezi wa Umbeya Club.iyekupa inform hajalipa information sahihi pole sana.Umbea haulipi.

Umezoea kuchafua akina Bashe malizana na akina Bashe Mwache Lema na familia yako on aibu for once.
 
Acha propaganda kamanda. Weka ushahidi
 
Back
Top Bottom