Hii ndiyo sababu ya Godbless Lema kutoambatana na mkewe kwenye kesi ya Kamanda Wema sepetu Dar

Tena wewe ni Muongo na mfitini Mkubwa.Ungekuwa unaukweli ungeweka ukweli wa Daudi Bashite.Pumbavu kabisa acha kuingilia maisha ya ndani ya watu.

Hahahaha kakasirika eti, pole kama umeguswa pabaya
 
Usiwe na hasira kamanda. Kwani wewe ni mkewe Lema?
Kwani wewe mumewe wema??Mbona haujaja na issue ya Mwenyekiti wako wa Chama cha Majipu kukimbia na mkewe baada ya kumpa kipindi??

For once acha kuingilia maisha ya watu unakera wewe mtoto wa kike.Kama huna Marinda kayatafute Dodoma
 
Usiwe na hasira kamanda. Kwani wewe ni mkewe Lema?
Kwani wewe mumewe wema??Mbona haujaja na issue ya Mwenyekiti wako wa Chama cha Majipu kukimbia na mkewe baada ya kumpa kipondo?

For once acha kuingilia maisha ya watu unakera wewe mtoto wa kike.Kama huna Marinda kayatafute Dodoma
 
Sijaona umuhimu wa hii mad. Ndoa iko mashakani kivipi? Wewe ndiye unakuwaga refarii? Kama wewe ni kaka wa nape basi mdogo wako anaupeo mkubwa zaidi
 
Mzushi nambari one nchini! Huyu hana mfanowe kwa uzushi katika nchi yetu.

 
Msema chochote
 
Inawezkna ww ukawa mke wa 2 Wa lema huezi jua sili za ndan kama haupo hapo nyumbn nani kakuambia wakt wanaongea make na mme ulikuepo?
 
Hahahaha ccm mmeishiwa pumzi sasa, yaani habari za akina mwajuma ndala ndefu zimekuwa zako siku hizi?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…