Hii ndiyo sababu ya Godbless Lema kutoambatana na mkewe kwenye kesi ya Kamanda Wema sepetu Dar

mama lema kua makini. wema ni jizi la wanaume wa watu wala kwenye siasa hajui anataka nini zaidi ya hela na wanaume.
 
Kamanda, kwani kwenye uzi huu kuna.mahala nimeponda upinzani? Kuwa mpole kamanda
Mr lizabon naona unataka kufanyà siasa mpaka kugombanisha ndoa za watu. Wewe Ni mtu mzima jaribu kujirekebisha, Kuna upuuzi unaoweza kuruhusiwa kuzusha lakini si hapa ulikofikia.
 
mama lema kua makini. wema ni jizi la wanaume wa watu wala kwenye siasa hajui anataka nini zaidi ya hela na wanaume.
Alishakuibia mume wako? Na je unapoamua kuvuruga ndoa ndoa za watu kwa maneno ya kuzusha wewe unafaidi nini?
 
Lakini si ni kweli Lema ameambatana na wepa bila mke wake
Unaweza kunihakikishia kuwa Lema huwa kila anapokwenda huwa anaambatana na mke wake? Na je kwenda Dar es salaam Lema ameambatana na wema au Dar es salaam ndiko wema anakoishi?
 

Naona umeamua kupita mule mule kwe maagizo ya Mwenyekiti wako wa chama,hongera zako.

Nyakati za propaganda za kipumbavu kama hiyo zimeshapita,tafuta namna ingine ya kuifarakanisha ndoa ya Kamanda Lema.
 
... Magazeti ya udaku ya Shigongo yanasomwa sanaa ukilinganisha na hard news paper but nini hasa kinapatina kwenye magazeti ya udaku??

Kama unaandaa gazeti halafu halisomwi hilo halina kitu. Lenye kitu linasomwa, lazima lisomwe, kama hayana kitu wewe unafikiri waenda kuyachambia?
 
MBUZI kafia kwa wauza SUPU. Siasa zetu full comedy eti WEMA nae KAMANDA 😀😀😀
 
Tueleze sababu
 
Unajua hapa JF watu kazi yao kusinzia sinzia lazima awepo mwana JF wa kuchekesha chekesha CC :Bashite
 
Kizaboni sasa ni wakati wa wewe kugombea Uenyekiti wa SHILAWADU
 
Lakini si ni kweli Lema ameambatana na wepa bila mke wake

Lizaboni na mshipa Pambaf zenu!
The Britons always say:" FOOLISH MIND DISCUSS PEOPLE BUT INTELLIGENT MIND DISCUSS ISSUES"
Huu ni ukweli usiopingika na uko wazi kabisa! Magamba na Maccm ya Lumumba mmekalia umbeya na majungu ya kuzungumzia watu badala ya matatizo yanayolikabili Taifa letu. Ooh, Lema kamwacha mkewe kaenda na Wema,ooh sijui mkewe kakataaa na upuuzi kama huo! Mijitu mizima mnawaza ngono tuuu!!!Jinga kabisa
Zungumzia issue inayowapeleka Lema na Wema Dar ambayo ni KESI ya madawa ya kulevya aliyobambikiwa Bi Wema Sepetu na Daudi Bashite!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…