kibangubangu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 272
- 353
- Thread starter
-
- #41
Labda wangezaa wangekua makini zaidi yahapoMbona kuna maskini matasa hawajazaa ila bado maskini akuna ajuae sili ya mafanikio ya mtu na kl mtu anafanikiwa kwanjia zake
Ni sawa sawa na akuna ajuae sili yakuishi umri mrefu ni bas tu tunabahatisha na wengne tunajifanya makocha tunajua ila ukwel akuna ajuae sili yakuishi miaka ming
So komaa pambana wacha polojo na longolongo zisizo na maana
[emoji23]...Tatizo tunabeti sana maisha tunakuja wasumbua vijana wetu baadae[emoji23][emoji23][emoji23]Unampokea mtu anavyokuja chief
Huo ni mtego boss...kuna nchi ukizaa unapewa mafao...sasa kwa tanzania kama binafsi hujiwezi jaribu..uone![emoji23]Fyatueni tu, tuwe wengi, tutajitosha na soko la ndani tu,
Mwamba kwenye hili nilimkubali
Kuogopa kuzaa ni umaskini tu
Mimi sijakaa uarabuni lakini kwa warabu wa hapa Tanzania nitajie watano matajiri wenye wake zaidi ya mmoja.Waarabu wana pesa mpaka hawajui cha kuzifanyia na unakuta mwamba mmoja ana wake 4 na kila mke ana watoto wasiopungua 5 na maisha ya kula bata yanaendelea kwa kila uzao.
Kiufupi watoto wengi ni mzigo kama huna pesa
Na unajua ana Equilibrium ya mapato kiasi gani?![emoji23][emoji23][emoji23] kulinganisha mapato na matumizi per LIFE TIME?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Elon Musk unajua ana watoto wangapi
Kuwa na watoto wengi ni vurugu kama unayo hiyo pesa.Kiufupi watoto wengi ni mzigo kama huna pesa
Kabisa mzee hayaelewekiMaisha ni kama ligi ya mpira bongo .hayana formula
Msoto wao ungezidi endapo wangeongeza factor inayonyang'anya hata kile kidogo walichonacho....Hii sio kweli kwa 100% .
Familia nyingi tu zenye ugumba au uzazi wa taabu zinakula msoto wa maisha
Tuwekee factors zingine
Kabisa mkuuKuwa na watoto wengi ni vurugu kama unayo hiyo pesa.
Ndo mana kuna watu wanatupa watoto sababu wanajua mtoto anakuja kunyang'anga hata kile kidogo alichonacho....Msoto wao ungezidi endapo wangeongeza factor inayonyang'anya hata kile kidogo walichonacho....
Unegative huo ndio Uhakika wake,na wadunia yake kesho...Ndo mana kuna watu wanatupa watoto sababu wanajua mtoto anakuja kunyang'anga hata kile kidogo alichonacho....
Mtoto ni factor of negative katika kukua kwake...
Na unegative wake si wa hiari ni wa Kimungu ,Kitaifa na kibinadamu....