kibangubangu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 272
- 353
- Thread starter
-
- #161
Kama aliweza kuwalea vizuri na kuwatunza na bado akawa tajiri hao 17 hawakua wengi kwake...Basi Mzee wangu alikuwa Tajiri sana watoto 17
[emoji1666]Hii kauli yako inamaana kubwa unaweza fungua kitabu kuielezea kama ukiitafikiri ndio haswa wanachofanya maskini that why kila siku kuanzia yeye hadi kiazazi wanakuwa maskini
Kuna masikini hawana watoto kabisa, kuna masikini wana raha kuliko matajiri, kuna matajiri hawana dhiki ila wana shida zisizoisha, kwa maana hiyo maisha ni naturally configured na hayana formular, let nature take its course for everyoneAu uzae watoto wengi uwekeze katika majukumu uitwe maskini na ubaki ukilaumu kuwa watoto hawakusaidii.
[emoji1666]Hongera sana kaka. Wewe ni genius.
Kuna maeneo watoto wanazaliwa wengi naturally na wanajitunza wenyeweKwa dunia ya sasa bora uzae watoto wachache ambao utaweza kuwatunza!
Kwa wakina Hadzabe au Khosa???Kuna maeneo watoto wanazaliwa wengi naturally na wanajitunza wenyewe
🤣Kwa wakina Hadzabe au Khosa???
Kuzaa watoto ni jukumu langu, siwezi kuchukua kitu ambacho si jukumu langu kikaingilia au kuathiri jukumu langu. Kwani wewe unalea watoto wangapi yatima? Pamoja na hayo yote kusaidia ni moyo wa mtu na ndio maana hata masikini wanasaidiana wenyewe kwa wenyewe kwa kile kidogo wanachopata.Acha kujifariji mkuu. Zaa watoto wachache ili upate akiba ya kuwasaidia wale wasio na baba wala mama. Alafu kumbuka world resources are so limited lakini idadi ya watu inaongezeka kila uchao.
Unasikitisha sana. Laiti kama wazungu wangekuwa na mentality kama hii, basi hata ndugu zetu wasingepata msaada wa ARVsKuzaa watoto ni jukumu langu, siwezi kuchukua kitu ambacho si jukumu langu kikaingilia au kuathiri jukumu langu. Kwani wewe unalea watoto wangapi yatima? Pamoja na hayo yote kusaidia ni moyo wa mtu.
Fahamu tajiri hana muda wa kufanya ngono muda wake wote anawaza kutumikia mali yake,masikini akisha kula na kushiba achoeaza ni kutia tuNi kiasi gani dunia inapoteza katika kutekeleza familly planning kwa ukuaji wa uchumi wa watu binafsi na dunia...?
Tuache basi kusema utajiri maana ni kama neno lenye ukakasi tuseme uchumi bora...
Na wakati huo huo fahamu tajiri hawezi kujaribu mbinu za mtu maskini...
Kupinga ukweli ni kuipinga asili.
Kwa mawazo hayoFahamu tajiri hana muda wa kufanya ngono muda wake wote anawaza kutumikia mali yake,masikini akisha kula na kushiba achoeaza ni kutia tu
Ifahamike kuwa na watoto wengi sio sababu ya kuwa masikini na kuwa na mtoto 1 sio sababu ya kuwa tajiri
Utajiri ni kipaji kuzaa mtoto 1 au wengi au kuishi bila familia sio kigezo cha kuwa tajiri unaweza kuwa na watoto kama timu ya simba lakini utajiri ukakuijia tu wengi miaka hii hawazai kabisa au wakizaa ni mtoto 1 au 2 ajabu wanashida mpaka sura zao zinaonyesha walivio chokaMmoja au wawili tu baaas
Bila shaka wewe unae mtoto 1 au 2 taja unamiliki nini katika mali kuliko wanye watoto 6?Acha kujifariji mkuu. Zaa watoto wachache ili upate akiba ya kuwasaidia wale wasio na baba wala mama. Alafu kumbuka world resources are so limited lakini idadi ya watu inaongezeka kila uchao.
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]We usiyetaka kuzaa watoto wengi usije Kuja wasumbua watoto wa wenzako utakapozeeka.
Ukitaka kuwa tajiri usioe ndugu ishi wewe pekee yako tuNi kweli jamaa anavyosema kuwa matajiri wanawagharamia sana watoto wao , kwa chakula,kiafya kimasomo, mf. Mtu anapelekwa nje kusoma , akirudi anapewa hela ya kufungua biashara kweli
Wewe mpaka sasa huna hata mke wala mtoto je uwekeza nini?Unajidanganya huko kwawarabu mambo yakuoa wake wa 4 wala hawaya entertain ila masheikh wahuku pangu pakavu ndo balaa
Mgawanyo wa matumizi hutegeme Kipato kilichopoBila shaka wewe unae mtoto 1 au 2 taja unamiliki nini katika mali kuliko wanye watoto 6?
Kila mtoto anakuja na baraka zake....Kitaaluma hiyo ni BETTING...Mimi hata kama sina uwezo, ikitokea afya ikaruhusu nitazalisha watoto wakutosha.
Kwanza huku Uswahili tunasema kila mtoto anakuja na bahati yake