Hii ndiyo sababu ya mimi kutokuwa na huruma na Ndugu

Yule dada Aliyekuwa na uwezo wa kunisomesha akagoma, Benki imewafilisi, wakaachana na mumewe. Amebaki kunipigia simu eti "nilikuwa nakusalimu" wakati kipindi nipo down hakuwahi kunipigia na nikimpigia hapokei simu, nikimpigia kwa number ngeni akishafahamu Ni mimi, anakata.

Maisha ya hapa Duniani ni fumbo
Wewe ni Mimi kwenye upande mwingine wa Shilling, itoshe kusema hivyo
 
Hapo kwa mama umebugi mzee maneno yake makali sio masimango ni msongo aliokuwa nao tu !isitoshe mama halipiziwi kisasi ,huwezi jua hiyo miaka hana kitu ukute hadi alidanga kwa ajili yako then umletee unyoko!
Huyo dada ishia kumpa msosi tu tena akikutembelea sio aje kukaa kwako
 
Kama kwenda mbinguni kunahitaji unafiki, Mimi sitaenda
Kwahiyo unaamini ya duniani umeyashinda tayari?

Wewe utoto unakusumbuwa bado hujaijuwa dunia.

Screenshot_2023-04-19-07-44-28-07.png
 
Baba yangu alifariki wakati nikiwa Mtoto mchanga hivyo nililelewa na Mama tu naye hakuwa na uwezo Hivyo nilisomeshwa na wasamaria wema. Mtu pekee Aliyekuwa na uwezo wa kiuchumi Ni dada aliyeolewa na yeye hakutaka mazoea kabisa.

Kwa jinsi maisha yalivyokuwa magumu, nilipofika Chuo nikawa natumia boom(mkopo wa elimu ya juu) kumtunza mama. Imagine mtu nilikuwa nalipwa laki tano na kumi na kupaswa niitumie kwa miezi miwili lakini nilikuwa najibana kwa kadiri iwezekanavyo nitumie mama Kati ya elfu 60 na 100,000.

Nilipomaliza chuo nikarudi nyumbani, hakuna ajira na Sina mtaji wa biashara au kilimo, nikawa nashinda ndani kwa mawazo au siku nikibahatisha kibarua Cha zege au kumsafishia mtu shamba naifanya kwa nidhamu, napata hela ya bundle la muendelezo wa kusaka ajira.

Ajabu ya karne; Mama mzazi alianza kunisimangia chakula na kunialaumu kuwa nilitumia vibaya mkopo wa Chuo nilikuwa nawapa makahaba wa mjini na kwamba ningekuwa na akili ningetambua kuwa mimi ni Mtoto yatima na ningetunza akiba ili nimalizapo chuo nifungue kioski!

Mungu siyo Shetani, baada ya miaka miwili ya ukosoefu wa ajira, nikapata kazi nzuri Sana kwenye moja ya taasisi za Kimataifa, nimeanza kusahau yale maisha magumu. Nimewekeza katika ardhi, nimenunua ekari 50, nimenunua viwanja viwili Arusha mjini na kimoja Kibaha. Kwa Sasa nawaza kununua power tiller(KUBOTA) ili inisaidie kwenye kilimo ambacho nitakianza mwakani rasmi.

Sasa nikikumbuka vituko vya mama, na Ndugu kuwatumia hela napata taswira ya yale maneno yale masimango. Naghairisha.

Yule dada Aliyekuwa na uwezo wa kunisomesha akagoma, Benki imewafilisi, wakaachana na mumewe. Amebaki kunipigia simu eti "nilikuwa nakusalimu" wakati kipindi nipo down hakuwahi kunipigia na nikimpigia hapokei simu, nikimpigia kwa number ngeni akishafahamu Ni mimi, anakata.

Maisha ya hapa Duniani ni fumbo
We bwege mama ni mama tu. ukimwacha utapitia magumu kuliko hayo ya mwanzo. Mama usimwache wengine hata wakifa njaa huna dhambi 😂️😂️😂️😂️
 
Fanya mambo yako usiwakaribishe Wala kiwashirikisha mambo yko watakuharibia,wale waliokuwa wanakunyanyasa wakat huna ndio roho zao halisi,hawa wa sasa ni feki.Na ukija kuowa jipange mkeo na watoto kuchukiwa kwamba wanafaid hela zako.
 
Mkuu msaidie mama yako na kamwe usisite kwenye hilo, yale maneno ya kusema ulikuwa unatumia hela na malaya yapo sana kwa wengi(hupenda kutumia neno kutumia hela vibaya).

Haya huyasema baada ya kusikia kuwa hela ya mkopo ni nyingi na hawajui uhalisia wake kwa sababu inawezekana mama hakusoma hadi kufikia chuo kwahiyo ni ngumu sana kuyaelewa maisha ya chuo. Msamehe na sahau.

Kwa sister hiyo ni karma inamtafuna na hakuna watu wabaya na wanafki duniani kama hao wa kutambua na kuona thamani ya mtu kwa kuona ana kitu.
 
Basi hii ni chai ya viungo maana Restless Hustler nilimkuta jukwaa la Ajira anaomba kuelekezwa kujaza Ajira portal Sasa najiuliza huyu hii Ajira hana anatafuta ajira na hizi hekari 50 ameziokota wapi au anaota asubuhi asije kua Bill Lugano kaja kivingine
Sama nilichokiandika. Nimeajiriawa sekata binafsi. Sasa nataka niingie serikalini
 
Back
Top Bottom