Hii ndiyo sababu ya mimi kutokuwa na huruma na Ndugu

Wewe ni Mimi kwenye upande mwingine wa Shilling, itoshe kusema hivyo
 
Hapo kwa mama umebugi mzee maneno yake makali sio masimango ni msongo aliokuwa nao tu !isitoshe mama halipiziwi kisasi ,huwezi jua hiyo miaka hana kitu ukute hadi alidanga kwa ajili yako then umletee unyoko!
Huyo dada ishia kumpa msosi tu tena akikutembelea sio aje kukaa kwako
 
We bwege mama ni mama tu. ukimwacha utapitia magumu kuliko hayo ya mwanzo. Mama usimwache wengine hata wakifa njaa huna dhambi 😂️😂️😂️😂️
 
Fanya mambo yako usiwakaribishe Wala kiwashirikisha mambo yko watakuharibia,wale waliokuwa wanakunyanyasa wakat huna ndio roho zao halisi,hawa wa sasa ni feki.Na ukija kuowa jipange mkeo na watoto kuchukiwa kwamba wanafaid hela zako.
 
Mkuu msaidie mama yako na kamwe usisite kwenye hilo, yale maneno ya kusema ulikuwa unatumia hela na malaya yapo sana kwa wengi(hupenda kutumia neno kutumia hela vibaya).

Haya huyasema baada ya kusikia kuwa hela ya mkopo ni nyingi na hawajui uhalisia wake kwa sababu inawezekana mama hakusoma hadi kufikia chuo kwahiyo ni ngumu sana kuyaelewa maisha ya chuo. Msamehe na sahau.

Kwa sister hiyo ni karma inamtafuna na hakuna watu wabaya na wanafki duniani kama hao wa kutambua na kuona thamani ya mtu kwa kuona ana kitu.
 
Sama nilichokiandika. Nimeajiriawa sekata binafsi. Sasa nataka niingie serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…