Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi

Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi

Swala la nguvu za kiume ni mifumo ya mwili kuwa imara

Mfumo wa mzunguko wa damu (cardiovascular system), mfumo wa homoni, mfumo wa neva za fahamu (neva na ubongo), mfumo wa uzazi

Mifumo hii ikifanya kazi vizuri bila hitilafu huwezi sikia upungufu wa nguvu za kiume

Shida kubwa ni Lishe duni na mtindo mbaya wa maisha ambao ambao unapelekea kuathiri mifumo hii

Kula vizuri (kiafya), epuka kula vitu vya ovyo ovyo (vyenye makemikali ), fanya mazoezi, balance stress, kunywa maji ya kutosha, punguza uzito na kitambi

Upungufu wa nguvu za kiume utausikia tu

Ila Kama mwanaume vyakula vyako ni chipsi, soda, wanga kwa Sana umeisha ni swala la muda tu
Haleluyah
 
Mmesikia nyie wanaume

Ukimuangalia mwanamke Kwa kumtamani ushazini nae moyoni

Tunaomba mpunguze idadi ya waenda Motoni ACHENI ngono na tamaa za mwili

Ndio maana nguvu za kiume zinapungua sana

Tunaomba wadada muache kuvaa uchi ili wanaume wabaki kuwa marijali
Tutathibitishaje kuwa wewe sio miongoni mwa wanaochangia kupunguza hizo nguvu naomba picha kwa uthibitisho boss
 
Mmesikia nyie wanaume

Ukimuangalia mwanamke Kwa kumtamani ushazini nae moyoni

Tunaomba mpunguze idadi ya waenda Motoni ACHENI ngono na tamaa za mwili

Ndio maana nguvu za kiume zinapungua sana

Tunaomba wadada muache kuvaa uchi ili wanaume wabaki kuwa marijali
Chukua maua Yako [emoji257][emoji257][emoji253][emoji259]
 
Back
Top Bottom