Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi

Na nyie acheni kutuonesha maungo yenu hamvai vizri kujistiri
Mmesikia nyie wanaume

Ukimuangalia mwanamke Kwa kumtamani ushazini nae moyoni

Tunaomba mpunguze idadi ya waenda Motoni ACHENI ngono na tamaa za mwili

Ndio maana nguvu za kiume zinapungua sana

Tunaomba wadada muache kuvaa uchi ili wanaume wabaki kuwa marijali
 
N

Nyie akina Nani??
Embu weka picha tuone wap tunakosea
Hzo ni chache lkn asilimia 75 ya picha kwenye mitandao ya kijamii ni za wanawake tena wakiwa nusu uchi au uchi kabsa
 
Attachments

  • 69665460_1308189896004938_3618442335504826368_n.jpg
    69665460_1308189896004938_3618442335504826368_n.jpg
    38.1 KB · Views: 2
  • 140383156_1557916437931366_694760236407515823_n.jpg
    140383156_1557916437931366_694760236407515823_n.jpg
    25.2 KB · Views: 3
Nguvu za kiume hazijapungua ttzo ni nyie wadada au watoto wa kike mmeanza mapenzi mkiwa bado ktk umri mdgo kwa kushiriki mapenzi na wanaume walowazidi umri kwaiyo mmekomaa

Tz ya leo ni ngumu sana kumkuta binti wa 16 yrs bikra ila ni rahisi sana kumkuta kijana wa 26 bikra
Mabinti acheni mapenzi na watu wazima inawakomaza mkiwa bado wadgo
 
Acha tu wakazwe maana haina namna
 
Hapa kuna mabinti 3 Wana bikra zao
Mmoja ana Miaka 45
Mmoja ana Miaka 38
Mmoja ana Miaka 53
Ongea practical sio nadharia
 
Back
Top Bottom