MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
- Thread starter
-
- #41
Mimi sikubaliani na hiyo ya JK ya ukila na wewe ukubali kuliwa, ukiwa na akili unaweza kula bila kuliwaKabisa! Na kama hawana nia njema mbona kila Siku tunawaalika kuhurudhuria mikutano ya ufunguzi wa miradi?
Umeona eeeeee?Wewe ni mpvmbavu.
Kosa ni nini sasa mkuuUmeona eeeeee?
Kwa hiyo mnaojua kuna madini huko ni wewe na Wajerumani? Hongera sanaKumbe wajerumani wanafahamu kuna madini mengi na ya thamani kubwa ukiacha uranium ya aina mbalimbali eneo hilo la bwawa la stieglers gorge, wanajua tukianza mradi huo tutayagundua yote na kuanza kuyachimba ndiyo maana wanaweka vikwazo ili ikiingia madarakani serikali dhaifu wairubuni na kuyachimba soma hapa uone utajiri uliopo huko TANZANIA
Gesi ni mali ya watanzania woteWaambie CCM na JIWE wao, kwanza:
- Wawaombe msamaha wanaMTWARA kwa kuwapelekea jeshi liwapige na kuwaua kwasababu ya GESI ambayo ni MALI YAO.
Mwambie JIWE, CCM na BUNGE wawaombe msamaha wananchi kwa kupitisha mikataba YA GESI YA MTWARA kwa MBWEMBWE na kugonga MEZA huku wakirukaruka juu.
Mwambie JIWE, BUNGE na CCM yake wawaombe WAPINZANI msamaha kwa kuwaita WASALITI walipokuwa wanapinga mikataba ambayo JIWE leo anasema kwenye GESI hatupati kitu.
Baada ya hapo ndio waje na stori zao za STRIGLE'R GERGE tuwasikilize !!