Uchaguzi 2020 Hii ndiyo siri wabunge wa CCM kumsifu Rais Magufuli

Kwa hiyo kujenga vituo vya afya ndiyo mnamwita JPM Mungu? Mkuu hebu kuweni serious kidogo Magufuli si wa kwanza kufanya hayo anayoyafanya mbona Nyerere hamkumwita Mungu? Kikwete vipi hakufanya kitu?

Halafu kazi za Magufuli haziwezi kukunadi wewe kamati kuu, kamati kuu inakuangalia wewe kama wewe hivyo kama hukuimba pambio za kutosha kwisha habari yako.
 
Ubunge siku hizi ni kazi Kama kazi nyingine si uwakilishi wa wadanganyika tena.Sasa naelewa why bunge limekuwa dhaifu zaidi miaka hii ya Tanzania ya viwanda kuliko enzi za mzee Kinjekitire
 
Endelea kulamba makalio, usije ukatupwa kwenye uteyuzi ujao! Mwanaume na akili zako unamfananisha magu na Yesu? Akili matope nyie!
 
Dikteta angetaka kuwachezea makalio hawa wapuuzi ili awape teuzi wasingekataa, yaani wamejishusha hadhi na utu wao hadi inatia KINYAA.

 
PUMBAVU jingine hili linajikomba kwa
******* mpaka linatia AIBU kisa apate TEUZI TU!

 
Kabisa hakuna jinsi lazima umsifie MEKO ili akuteue kwenye kura za maoni.
 
Huu mwandiko kama wa KIDUKULU


Naunga mkonyo hoja

Magufuli aongezewe muda wa kukaa madarakani ikiwezekana apewe miaka 15 zaidi akimaliza 10 ya kwanza.
 
Sasa mbona tunapowapigia kelele wakabadilishe, sheria na Sera mbovu ili secta binafsi iajili watu wengi wanagonga meza tu,

waje tu huku mtaani tutaabike wote siku akili zao zikikaa sawa tufanye mapinduzi ya kifikra na kuondoa ubabaishaji was ccm
 
wewe mwenyewe Ni mfano mzuri ...

USINGERUDI! narudia Tena USINGERUDI kwenye first eleven kama sio kwa mbinu Hii...

probably Kangi lugola amejifunza kutoka kwako....
 
Ukiwa kama mwana dini na mkristo safi je unazan ni sahihi kwa Kangi kumfananisha Magu na Yesu
 
ukweli lazma usemwe, ni swa na hawa vijana wenzangu wa CCM-MATAGA, wanasifia mpaka wanamkashifu Mungu, siyo kipindi kile cha miaka ya 1990 tulikuwa tuna
Jamaa wanapiga mapambio hatariiii....
bwana wa mabwana mungu wa miungu alufa na omera nan kama mwewe........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…