Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
- Thread starter
- #21
Kwa hiyo kujenga vituo vya afya ndiyo mnamwita JPM Mungu? Mkuu hebu kuweni serious kidogo Magufuli si wa kwanza kufanya hayo anayoyafanya mbona Nyerere hamkumwita Mungu? Kikwete vipi hakufanya kitu?Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Halafu kazi za Magufuli haziwezi kukunadi wewe kamati kuu, kamati kuu inakuangalia wewe kama wewe hivyo kama hukuimba pambio za kutosha kwisha habari yako.