Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Polepole kishasema Fomu imechapishwa moja tu, na Jiwe alishasema kwenye hotuba kule dodoma jimbo la ndugu-aai, kwamba kama mtu anafanya kazi vizuri kwanini uchukue fomu ya kumpinga, ? pale JIWE alikuwa anajizungumzia, za kuambiwa changanya na zakoNilikuwa sijasoma ID kumbe ni ww mwamba wa siginda. Chukua basi form ya uraisi utimize ile ahadi ulio andika kwenye mawe na karavati za madaraja nchi nzima 2015
Mkuu umemjibu Mwigulu Nchemba kwa ukali kidogo ila huyu wazii wetu ambaye alitumbuiwa kwa mbwembwe na akarudishwa taratibu ajue tu, "Maendeleo ya nchi siyo hisani ya kiongozi,ni lazma kwa kutymia resorces zilizopo" tunalipa kodi tunataka kuona matunda ya kodi zetuWewe ndiyo unatakiwa kuwa na adabu. Kubwa zima, PhD yenyewe umepewa kimagumashi. Kwani kujenga miundombinu kwa taifa si ni kazi yake? Au aliomba kura 2015 ili iweje! Sisi wananchi tusiyo na vyeo vyovyote ndiyo tuna haki Zaidi Ya kupima utendaji wa Rais, na siyo nyie viongozi wa nitolee
Polepole kishasema Fomu imechapishwa moja tu, na Jiwe alishasema kwenye hotuba kule dodoma jimbo la ndugu-aai, kwamba kama mtu anafanya kazi vizuri kwanini uchukue fomu ya kumpinga, ? pale JIWE alikuwa anajizungumzia, za kuambiwa changanya na zako
Mkuu naona kitila hatogombea jimbo lako baada ya sarakasi kali uliomwonyesha!!!kwa hili la lugola Yesu atajibu kule MOI!!!stay tuned!!!Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Alikuwa na kabinti kamoja, kalikuwa kanamchomoa hasa. Baada ya kufukuzwa uwaziri, kamemwacha. Mtaani kanasema, kalimpenda waziri siyo Lugolo. Lugolo kampeleke wapi?oops, so sorry kwake, yes atakuwa anaondoa stress
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Wewe ndiyo unatakiwa kuwa na adabu. Kubwa zima, phd yenyewe umepewa kimagumashi. Kwani kujenga miundombinu kwa taifa si ni kazi yake? Au aliomba kura 2015 ili iweje! Sisi wananchi tusiyo na vyeo vyovyote ndiyo tuna haki zaidi ya kupima utendaji wa rais, na siyo nyie viongozi wa nitolee
Ila mkuu kuna βkorasiβ moja ulipiga ukapewa tena βkitiβ, nakupa tano!! Sasa hivi katibu wa maji, labda akatufute jimbo lingine tu, Tanzania ni kubwa! Viva mkulu! Ombi langu anzisha darasa Baba, watu wajifunze, siyo mtu anaimba tu flat, eti anategemea sifa zifike!!ππ! I am just joking, donβt take it personal!Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Paskali hataonekana hapaccm kweli imeamua kubadilika,
huu utaratibu ni nzuri kwa kupata wabunge na mawaziri makini.mfano ndani ya miaka 5 magufuli ametumbua mawazir kibao kutokana mfumo uliokuwako,ila kwa utaratibu huu hata rushwa haitakuwepo,kwa sababu waweza toa halafu jina lako lisirudi
Cyprian Musiba kamkalia vibaya Kange lugola ingawa walitishiana uchawi kuroganaMwibara mzee anampitisha msiba sasa kangi kaona bora ajitoe ufahamu tu
Hilo tunalijua sana na ndio waone hasara ya kukosekana demokrasia ya kweli ya kuchagua na kuchaguliwa.
Wanaomshangilia jimboni mwake anawalipa kwanza bila hivo hata kofi 1 hawezipataAnadhani humu mitandaoni ni kama kwenye mikutano ya huko jimboni kwake, ambako anawahubiria kisha wanamshangilia. Humu watu wana akili zao, na watu wasiojulikana hawaji humu.