Uchaguzi 2020 Hii ndiyo siri wabunge wa CCM kumsifu Rais Magufuli

Hakuna kinacho hararisha kauli za kipuuzi kama "Mungu amshukuru MAGUFULI"
 
Labda tarafa ya nyumbani kwenu.
 
Ww n ww n ccm kwel?maaana hata hujui mabadiliko yaliyotokea,ss iv kila kitu wamecentralize mkuu ndo final say
 
Mtaka cha uvunguni sharti ainame lakini waweza inama jitu likapita kwa nyuma
 
Taifa la wajinga na mang'ombe

Mtu mmoja ana control vichwa milioni 60 bila tatizo lolote
 
Mkuu kwanini unachukia democrasia. mwenye mawazo tofauti na yako unamuona fala
 
Huu utaratibu wa kuteua ndiposa wapigiwe kura una walakini; huenda watia nia wanaopendwa au kutakiwa na wapiga kura wao wakaachwa na badala yake wakapitishwa watia nia wanaopendwa au kujuana na viongozi wa chama / serikali.

Kuwapigia kura wote kungewezesha wenye maamuzi ya mwisho kujua nani anauzika kwa wananchi zaidi ya wengine.
 
Maendeleo ni haki ya watanzania siyo Hisani ya CCM, walipa kodi ni wananchi wote tena wasio na vyama hulipa kodi zaidi, toeni maendeleo kwa lazima siyo wabunge kuendelea kutumia vishawishi vya kuleta maji barabara shule wakati ni wajibu wa halimashauri na Serikali kufanya vyote hata kama kungekuwa hakuna mbunge kokote. Tuondoke kwenye Ahadi za kizamani kwani pesa haitoki mifukoni mwa CCM siyo pesa binafsi ya CCM, tubadilike tuje kisasa hata kwa kuangalia wabunge wa Ulaya, America au hata South Africa huahidi nini kwani huko Ahadi ambazo ni wajibu wa Serikali hawazitumii sasa.
 
Huo ndio ukweli wenyewe maana wabunge karibu woote wa CCM akili zimewaruka . We angalia jinsi Spika Ndugai anavyojitahidi kumfurahisha mheshimiwa Rais ili asimusahau mbele ya safari
 
Kwani hao watatu wanashindwa kutoa rushwa?
 
Upendeleo kwa wanaosifu haukwepeki CCM ya sasa na kama husifu unatakiwa uwahujumu chadema kwa uwazi ambao CCM makao makuu wataona hujuma yako live, zipo mbinu mbili ya kwanza kusifu sana zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM na mbinu ya pili ni kuidhoofisha chadema kwa vitendo live mpaka CCM wakuone kwa uwazi.
 
Huo ndio ukweli wenyewe maana wabunge karibu woote wa CCM akili zimewaruka . We angalia jinsi Spika Ndugai anavyojitahidi kumfurahisha mheshimiwa Rais ili asimusahau mbele ya safari
Ndungai ana hali ngumu sana Jimboni kwake wanajua alipiga bilion 12 kule India na kazitumia kujenga kule Dsm na hapo Dodoma mjini pasipo kupeleka maendeleo kongwa, atarejea Bungeni kwa Hisani ya CCM siyo kwa kura za wapiga kura.
 
Mwana CCM sifu sana na kama huwezi kusifu basi ihujumu chadema kiasi ambacho CCM wataona hujuma yako.
 
Kwa mfano sasa lijuakali ametumia tiketi ya kuidhoofisha chadema kama kigezo cha kupata uteuzi
 
Rais mwenyewe anakudharau ndiyo maana alikuapishia bar.

Kwa jinsi mlivyo desperate kwa njaa mko tayari hata kutembea uchi mkimsifu ili mpate uteuzi.

Useless fools

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Pili wana maisha magumu sana. Mfano Gekul ana madeni kiasi kwamba mshahar anaopata ni chini ya miliono 1 kwa mwdzi nyingine zinaenda kwenye kulipa mkopo. Tangu ahamie CCM anasema maisha yale yamekuwa magumu mno. Kwa hali kama hiyo lazima wasifie tu hata kama havina maana
 
Kutoka Dar mpaka mwanza ni takribani KM 1200.

Maana ake ni kwamba serikali hii imejenga barabara 61 zenye urefu wa kutoka Dar-Mwanza.

Sasa ndugu Mwigulu Nchemba hizo barabara (KM 74,000=61 roads from DAR -MWZ) ziko wapi mbona hatujawahi kuziona?
kikwete ndiye alitumia kodi za watanzania kujenga barabara na miradi mingi ni ile endelevu ya kikwete
 
Mheshimiwa mbunge nitajie majina mawili ya vituo vta afya vilivyojengwa kwenye Jimbo lako. Na unitajie majina mawili ya hospitali zenye hadhi ya wilaya zilizojengwa kwenye Jimbo lako. Pili tutajie bara bara ya lami inaitwaje iliyojengwa kwenye jimbo lako. Asante ni hayo tu Mbunge wangu na waziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…