Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
- Thread starter
- #21
Namna hiyo😁😁Ubaya Ubwela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namna hiyo😁😁Ubaya Ubwela
Sasa hapo angekuwekea madawa ya kulevya kwenye huo msosi unadhani ungesalimika!!!Siwezi kujaa uzuri huwa nikishaachana na mtu siwasiliani nae kwa namna yoyte ile
Mungu atanipa wa kufanana nae mkuukama wewe una ma-ex kila baa, nani aoe
Angeweka saa ngapi na sijainuka hata kwenda chooniSasa hapo angekuwekea madawa ya kulevya kwenye huo msosi unadhani ungesalimika!!!
😁😁😁umeamua kuunganisha dotskumbe ile background yako iliyokuwa inakuuzi ni umalay...
mpuuzi fulani hivi unatupotezea muda....Binti MalayaSasa nijiite nani mkuu😁😁
Siku nyingine utaliwa hivi hivi hata home hakurudishiSiku moja asubuhi wakati natoka nyumbani kwenda mihangaikoni nikiwa stendi nikakutana na x- wangu, nilikuwa nina mwaka mzima sijawahi kumuona.
Nikasalimiana nae akaniuliza mbona nimepotea ananipigia sipokei, ni kweli aliwahi kunicheki WhatsApp sikujibu nilifuta kabisa. Nikamwambia mambo mengi nicheki leo, akaniambia sawa, nikaondoka kweli baadae alinicheki. Akaniambia anataka tuonane kanimiss sana na wakati huu akawa ananiita mpenzi wake😁😁 nikamwambia tuonane kesho leo nipo bize nimechoka then kesho naingia asubuhi kanibembeleza lakini niligoma.
Ikafika hiyo kesho mida ya usiku akaniambia nirequest bolt hadi kwake, nikamwambia mimi sijisikii kupanda hizo bolt nifate, akanibembeleza nirequest nikagoma, ikabidi anifate.
Akaja mpaka karibu na ofisini, akafika kanipigia nikatokea kwa hapo stendi nikamkuta maana alikuja na pikipiki yake, nikamwambia twende mahali tukapate dinner ndiyo tuondoke, kweli tukaenda hadi bar fulani na ilikuwa weekend, tulivyofika nikala yeye hakunywa chochote alisema alikuwa kalala amekuja kwaajili yangu.
Wakati nimeletewa chakula nakula hapo, mbele yetu ghafla nikamuona x-wangu mwingine tuliyeachana kwasababu flani flani hizi nitaeleza wakati mwingine. Huyu x wangu mwingine alikuwa na rafiki zake nilishtuka, ila nikawa normal tu, yeye sasa nikamuona anawanong"oneza marafiki zake wanageuka wananiangalia, nadhani hakutegemea kama tungekutana. Akaanza kunywa pombe kwa sifa mwishowe ikiabidi wahame meza na marafiki zake, naona hakuwa comfortable kukaa pale.
Huyu x-wangu niliyekuja nae hakuona chochote ndiyo kwanza alikuwa ananilazimisha nile chap tuondoke akanile, nikamaliza kula pale nikamwambia nipeleke nyumbani kwanza sijachukua nguo za kesho,.
Basi akanipeleka mpaka pale stendi aliponiona ile siku ya 1 nikamuacha pale nikamwambia narudi nilivyofika ndani nikamwambia mimi nalala tutaonana siku nyingine, akapiga sikupokea akatuma msg sikujibu. Hakunitafuta tena.
Kuna siku nilikutana nae njiani akanipa lifti, akanikumbushia nilichomfanyia ile siku, mimi nilimcheka sana. Hiyo ndiyo zawadi ya x- anaerudi kupasha kiporo.
acha umalaya kwanza, hata Mungu hapendezwi, usishangae asikupe kabisaMungu atanipa wa kufanana nae mkuu
Mdanganye tu, siku akijaa kwenye 18 ndo atajua hajui.Ubaya Ubwela
Kwanini unasema hivyo mkuu?Wewe Akili huna
Siombi msamaha.
😁😁kwanini mkuu?Utakufa vibaya ww nakuhurumia 🤣🤣
Binti kivuruge😁😁😁umeamua kuunganisha dots
Jamani unavyosema hivyo, nimewahi kukupa kwani😁mpuuzi fulani hivi unatupotezea muda....Binti Malaya
Halafu anataka afikishwe kileleleni labda afanywe mazoez ya kufika mlima kimara si kwa routine maintenance na spot improvement ya hiyo road yako dahUlienda na Bar na mwanaume wako wa zamani, ukakutana hapo na mwanaume wako mwingine wa zamani...alafu bila haya unajiita Binti Sayuni.....😳
Hamna mimi binti mpole sana😔Binti kivuruge
Ulichokifanya sio kitu kizuri... Naamini hiyo siku jamaa alienda kununua mlupo😁😁kwanini mkuu?