Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
- Thread starter
- #61
Mimi nakerekwaga sana na hii tabiaAkili zetu wanaume sio kama zenu... Kama oxygen ilivyo karibu sana ndivyo hivyo tuwazavyo karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nakerekwaga sana na hii tabiaAkili zetu wanaume sio kama zenu... Kama oxygen ilivyo karibu sana ndivyo hivyo tuwazavyo karibu
😁😁😁🙌mbona Abood jamani, siku nyingine siwapi stori kama hii maana mapovu mengiSafi sana 😹😹
Naona wanaume mmekasirika.!! 🤣
Ila mahi inaonekana nawe si haba umewapanga.!! Haya Abood ngapi wanatoshea?? 😹😹
Hapo ungeendelea kukaa wangejitokeza wengine…
Sasa Kwa nini umemfanyia hivyo jamaa yetu.Nimebadilika mda sana mkuu
😹😹😹 Yani nime-imagine ungekaa muda mrefu wangejitokeza wangapi? 🤣😁😁😁🙌mbona Abood jamani, siku nyingine siwapi stori kama hii maana mapovu mengi
UooongoSina nyingine mkuu
Wewe ulimfanyia kituko cha staha kidogo bhana.Siku moja asubuhi wakati natoka nyumbani kwenda mihangaikoni nikiwa stendi nikakutana na x- wangu, nilikuwa nina mwaka mzima sijawahi kumuona.
Nikasalimiana nae akaniuliza mbona nimepotea ananipigia sipokei, ni kweli aliwahi kunicheki WhatsApp sikujibu nilifuta kabisa. Nikamwambia mambo mengi nicheki leo, akaniambia sawa, nikaondoka kweli baadae alinicheki. Akaniambia anataka tuonane kanimiss sana na wakati huu akawa ananiita mpenzi wake😁😁 nikamwambia tuonane kesho leo nipo bize nimechoka then kesho naingia asubuhi kanibembeleza lakini niligoma.
Ikafika hiyo kesho mida ya usiku akaniambia nirequest bolt hadi kwake, nikamwambia mimi sijisikii kupanda hizo bolt nifate, akanibembeleza nirequest nikagoma, ikabidi anifate.
Akaja mpaka karibu na ofisini, akafika kanipigia nikatokea kwa hapo stendi nikamkuta maana alikuja na pikipiki yake, nikamwambia twende mahali tukapate dinner ndiyo tuondoke, kweli tukaenda hadi bar fulani na ilikuwa weekend, tulivyofika nikala yeye hakunywa chochote alisema alikuwa kalala amekuja kwaajili yangu.
Wakati nimeletewa chakula nakula hapo, mbele yetu ghafla nikamuona x-wangu mwingine tuliyeachana kwasababu flani flani hizi nitaeleza wakati mwingine. Huyu x wangu mwingine alikuwa na rafiki zake nilishtuka, ila nikawa normal tu, yeye sasa nikamuona anawanong"oneza marafiki zake wanageuka wananiangalia, nadhani hakutegemea kama tungekutana. Akaanza kunywa pombe kwa sifa mwishowe ikiabidi wahame meza na marafiki zake, naona hakuwa comfortable kukaa pale.
Huyu x-wangu niliyekuja nae hakuona chochote ndiyo kwanza alikuwa ananilazimisha nile chap tuondoke akanile, nikamaliza kula pale nikamwambia nipeleke nyumbani kwanza sijachukua nguo za kesho,.
Basi akanipeleka mpaka pale stendi aliponiona ile siku ya 1 nikamuacha pale nikamwambia narudi nilivyofika ndani nikamwambia mimi nalala tutaonana siku nyingine, akapiga sikupokea akatuma msg sikujibu. Hakunitafuta tena.
Kuna siku nilikutana nae njiani akanipa lifti, akanikumbushia nilichomfanyia ile siku, mimi nilimcheka sana. Hiyo ndiyo zawadi ya x- anaerudi kupasha kiporo.
Aache kula vya watuSasa Kwa nini umemfanyia hivyo jamaa yetu.
Aya kama huniaminiUooongo
Duuu roho mbayaSiku moja asubuhi wakati natoka nyumbani kwenda mihangaikoni nikiwa stendi nikakutana na x- wangu, nilikuwa nina mwaka mzima sijawahi kumuona.
Nikasalimiana nae akaniuliza mbona nimepotea ananipigia sipokei, ni kweli aliwahi kunicheki WhatsApp sikujibu nilifuta kabisa. Nikamwambia mambo mengi nicheki leo, akaniambia sawa, nikaondoka kweli baadae alinicheki. Akaniambia anataka tuonane kanimiss sana na wakati huu akawa ananiita mpenzi wake😁😁 nikamwambia tuonane kesho leo nipo bize nimechoka then kesho naingia asubuhi kanibembeleza lakini niligoma.
Ikafika hiyo kesho mida ya usiku akaniambia nirequest bolt hadi kwake, nikamwambia mimi sijisikii kupanda hizo bolt nifate, akanibembeleza nirequest nikagoma, ikabidi anifate.
Akaja mpaka karibu na ofisini, akafika kanipigia nikatokea kwa hapo stendi nikamkuta maana alikuja na pikipiki yake, nikamwambia twende mahali tukapate dinner ndiyo tuondoke, kweli tukaenda hadi bar fulani na ilikuwa weekend, tulivyofika nikala yeye hakunywa chochote alisema alikuwa kalala amekuja kwaajili yangu.
Wakati nimeletewa chakula nakula hapo, mbele yetu ghafla nikamuona x-wangu mwingine tuliyeachana kwasababu flani flani hizi nitaeleza wakati mwingine. Huyu x wangu mwingine alikuwa na rafiki zake nilishtuka, ila nikawa normal tu, yeye sasa nikamuona anawanong"oneza marafiki zake wanageuka wananiangalia, nadhani hakutegemea kama tungekutana. Akaanza kunywa pombe kwa sifa mwishowe ikiabidi wahame meza na marafiki zake, naona hakuwa comfortable kukaa pale.
Huyu x-wangu niliyekuja nae hakuona chochote ndiyo kwanza alikuwa ananilazimisha nile chap tuondoke akanile, nikamaliza kula pale nikamwambia nipeleke nyumbani kwanza sijachukua nguo za kesho,.
Basi akanipeleka mpaka pale stendi aliponiona ile siku ya 1 nikamuacha pale nikamwambia narudi nilivyofika ndani nikamwambia mimi nalala tutaonana siku nyingine, akapiga sikupokea akatuma msg sikujibu. Hakunitafuta tena.
Kuna siku nilikutana nae njiani akanipa lifti, akanikumbushia nilichomfanyia ile siku, mimi nilimcheka sana. Hiyo ndiyo zawadi ya x- anaerudi kupasha kiporo.
Kwa akikukula na wewe si unaburudika? Shida iko wapi hapo.Aache kula vya watu
Ndivyo tulivyoumbwa hivyo tunaomba uvumilivu kipenziMimi nakerekwaga sana na hii tabia
Ongera sana kamamaSiku moja asubuhi wakati natoka nyumbani kwenda mihangaikoni nikiwa stendi nikakutana na x- wangu, nilikuwa nina mwaka mzima sijawahi kumuona.
Nikasalimiana nae akaniuliza mbona nimepotea ananipigia sipokei, ni kweli aliwahi kunicheki WhatsApp sikujibu nilifuta kabisa. Nikamwambia mambo mengi nicheki leo, akaniambia sawa, nikaondoka kweli baadae alinicheki. Akaniambia anataka tuonane kanimiss sana na wakati huu akawa ananiita mpenzi wake😁😁 nikamwambia tuonane kesho leo nipo bize nimechoka then kesho naingia asubuhi kanibembeleza lakini niligoma.
Ikafika hiyo kesho mida ya usiku akaniambia nirequest bolt hadi kwake, nikamwambia mimi sijisikii kupanda hizo bolt nifate, akanibembeleza nirequest nikagoma, ikabidi anifate.
Akaja mpaka karibu na ofisini, akafika kanipigia nikatokea kwa hapo stendi nikamkuta maana alikuja na pikipiki yake, nikamwambia twende mahali tukapate dinner ndiyo tuondoke, kweli tukaenda hadi bar fulani na ilikuwa weekend, tulivyofika nikala yeye hakunywa chochote alisema alikuwa kalala amekuja kwaajili yangu.
Wakati nimeletewa chakula nakula hapo, mbele yetu ghafla nikamuona x-wangu mwingine tuliyeachana kwasababu flani flani hizi nitaeleza wakati mwingine. Huyu x wangu mwingine alikuwa na rafiki zake nilishtuka, ila nikawa normal tu, yeye sasa nikamuona anawanong"oneza marafiki zake wanageuka wananiangalia, nadhani hakutegemea kama tungekutana. Akaanza kunywa pombe kwa sifa mwishowe ikiabidi wahame meza na marafiki zake, naona hakuwa comfortable kukaa pale.
Huyu x-wangu niliyekuja nae hakuona chochote ndiyo kwanza alikuwa ananilazimisha nile chap tuondoke akanile, nikamaliza kula pale nikamwambia nipeleke nyumbani kwanza sijachukua nguo za kesho,.
Basi akanipeleka mpaka pale stendi aliponiona ile siku ya 1 nikamuacha pale nikamwambia narudi nilivyofika ndani nikamwambia mimi nalala tutaonana siku nyingine, akapiga sikupokea akatuma msg sikujibu. Hakunitafuta tena.
Kuna siku nilikutana nae njiani akanipa lifti, akanikumbushia nilichomfanyia ile siku, mimi nilimcheka sana. Hiyo ndiyo zawadi ya x- anaerudi kupasha kiporo.
Mimi sikutaka kumpa maumivu makubwa nilitaka kumkaushia baada ya kufika stendi ila nikaona angeniona mswahili sana, nikaamua bora nimpe moyo😁😁Wewe ulimfanyia kituko cha staha kidogo bhana.
Mimi X wangu alilipiza kwa kunikomoa!
Nilivyokutana naye kanona halafu anaringa kuliko zamani, nadhani alinifanyia makusudi kunivuruga saikolojia, nikamtamani!
Mbinu zangu nilizozitumiaga zamani kumnasa nikazibadili, sasa nikatumi mtego wa cash za kutupatupa kama wanavyofanyaga waNigeria.
Alivyojaa, haraka sana nikamshawishi twende 'gesti', akakubali.
Tulipofika gesti kulikuwa na bar, unakutana na bar kwanza, vyumba vipo uani na mhudumu wa vyumba yuko uani huko huko.
Nikaelekezwa na mhudumu wa bar kwenda aliko mhudumu wa guest kulipia.
Dosho nikamuacha counter, nikalipia nikamfuata huku nikichuruzikwa na udenda wa 'pre cum' kwenye boxer na mate ya kawaida hunijaa sana mdomoni nikiwa katika hali hiyo!
Kurudi counter dosho hayupo, kenda wapi tena huyu!
Nikabana kimya dk 15 kumsubiri!
Uvumilivu ulivyonishinda nikampigia simu akapokea na kunambia katoka kidogo nisitoke nimsubiri.
Toka saa12 hadi saa4 kila nikipiga ananiplease nisitoke, ilipofika saa5 akaniblock rasmi.
Roho ikaanza kuniuma na kunienda mbio, maana hata kwake sipajui.
Baada ya kublockiwa nikaanza kujilaumu kwa kumwacha counter pamoja kuwaza mawazo ambayo hayakunisaidia kumpata.
Yaani mimi kanifanyia hivi kweli, hela ya pango iliwe kipumbafpumbaf bila chumba kutumika!
Alinijaza upepo, lakini si wa kupigana ama kugombana, hapana ni ile jazba ya kumkosa na kukikosa nilichodhamiria kukipata kwa muda huo.
Iliniuma sana na nikakiri kwamba siku hiyo alinikomoa.
Asante sana kababaaOngera sana kamama
Mh😔 kwanini unasema hivyo mkuu wakati hata kumpa sijampa
Kama huyu x wangu ni mpumbavu sana yeye kukulana anapenda ila ukimwambia akusaidie kitu ambacho kinahusu pesa aisee hapo umemkimbizaKuna vyakula havifai kuwa viporo kuna X sio wakutafuta hata bahati mbaya
Akhuuu sitaki, kumpa mwanaume muongo asiye muwajibikajiMkuu mama anaupiga mwingi na wewe kampe ili kuunga juhudi za mama za kupiga mwingi!
Akhuuu sitaki, kumpa mwanaume muongo asiye muwajibikaji