TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Akhuuu sitaki, kumpa mwanaume muongo asiye muwajibikaji
Hawajiki kwenye kipi hasa?,kitandani au majukumu ya kipato?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akhuuu sitaki, kumpa mwanaume muongo asiye muwajibikaji
Hatukuachana vibaya kiviile!Mimi sikutaka kumpa maumivu makubwa nilitaka kumkaushia baada ya kufika stendi ila nikaona angeniona mswahili sana, nikaamua bora nimpe moyo😁😁
Sema wewe huyo ex wako alikunyoosha au mliachana vibaya?
Hata mimi aisee hapo ningekukomesha unakimbia ndoa it means huna mpango na mimiHatukuachana vibaya kiviile!
Yeye alikuwa akinilazimisha ndoa bila mjadala, nikashituka nikammwaga.
Majukumu ya kipato, inshort nadhani ana mtu wake mwingine haiwezekani mtu anakutafuta akiwa anataka kuichapa tu hayo ni mahusiano gani sasaHawajiki kwenye kipi hasa?,kitandani au majukumu ya kipato?
Jamani mko wapi? Njoeni uku muone yule mgeni wa Jana mwenye jina la kitakatifu ameanza kumwaga sera za kishetani uku .Siku moja asubuhi wakati natoka nyumbani kwenda mihangaikoni nikiwa stendi nikakutana na x- wangu, nilikuwa nina mwaka mzima sijawahi kumuona.
Nikasalimiana nae akaniuliza mbona nimepotea ananipigia sipokei, ni kweli aliwahi kunicheki WhatsApp sikujibu nilifuta kabisa. Nikamwambia mambo mengi nicheki leo, akaniambia sawa, nikaondoka kweli baadae alinicheki. Akaniambia anataka tuonane kanimiss sana na wakati huu akawa ananiita mpenzi wake😁😁 nikamwambia tuonane kesho leo nipo bize nimechoka then kesho naingia asubuhi kanibembeleza lakini niligoma.
Ikafika hiyo kesho mida ya usiku akaniambia nirequest bolt hadi kwake, nikamwambia mimi sijisikii kupanda hizo bolt nifate, akanibembeleza nirequest nikagoma, ikabidi anifate.
Akaja mpaka karibu na ofisini, akafika kanipigia nikatokea kwa hapo stendi nikamkuta maana alikuja na pikipiki yake, nikamwambia twende mahali tukapate dinner ndiyo tuondoke, kweli tukaenda hadi bar fulani na ilikuwa weekend, tulivyofika nikala yeye hakunywa chochote alisema alikuwa kalala amekuja kwaajili yangu.
Wakati nimeletewa chakula nakula hapo, mbele yetu ghafla nikamuona x-wangu mwingine tuliyeachana kwasababu flani flani hizi nitaeleza wakati mwingine. Huyu x wangu mwingine alikuwa na rafiki zake nilishtuka, ila nikawa normal tu, yeye sasa nikamuona anawanong"oneza marafiki zake wanageuka wananiangalia, nadhani hakutegemea kama tungekutana. Akaanza kunywa pombe kwa sifa mwishowe ikiabidi wahame meza na marafiki zake, naona hakuwa comfortable kukaa pale.
Huyu x-wangu niliyekuja nae hakuona chochote ndiyo kwanza alikuwa ananilazimisha nile chap tuondoke akanile, nikamaliza kula pale nikamwambia nipeleke nyumbani kwanza sijachukua nguo za kesho,.
Basi akanipeleka mpaka pale stendi aliponiona ile siku ya 1 nikamuacha pale nikamwambia narudi nilivyofika ndani nikamwambia mimi nalala tutaonana siku nyingine, akapiga sikupokea akatuma msg sikujibu. Hakunitafuta tena.
Kuna siku nilikutana nae njiani akanipa lifti, akanikumbushia nilichomfanyia ile siku, mimi nilimcheka sana. Hiyo ndiyo zawadi ya x- anaerudi kupasha kiporo.
😁😁namna hiyo huyu nimeona kama nimempa kazawadi kadogo, siku mwingine akijichanganya nitammalizia hasira zangu zoteSafi na mimi kuna ex wangu mmoja kajaa kwenye mfumo nataka nimpige pesa kisha nabrock mpaka ukoo wake🏋🏻
Jamani mkuu, hata ushuhuda tusitoe🥲Jamani mko wapi? Njoeni uku muone yule mgeni wa Jana mwenye jina la kitakatifu ameanza kumwaga sera za kishetani uku .
Ex hachekewi akijirudisha una mna mnyoosha😀😁😁namna hiyo huyu nimeona kama nimempa kazawadi kadogo, siku mwingine akijichanganya nitammalizia hasira zangu zote
Majukumu ya kipato, inshort nadhani ana mtu wake mwingine haiwezekani mtu anakutafuta akiwa anataka kuichapa tu hayo ni mahusiano gani sasa
Naomba anayekuoa akufumue marinda kabisa. M2anamke hovyo😡😡😡😡Siku moja asubuhi wakati natoka nyumbani kwenda mihangaikoni nikiwa stendi nikakutana na x- wangu, nilikuwa nina mwaka mzima sijawahi kumuona.
Nikasalimiana nae akaniuliza mbona nimepotea ananipigia sipokei, ni kweli aliwahi kunicheki WhatsApp sikujibu nilifuta kabisa. Nikamwambia mambo mengi nicheki leo, akaniambia sawa, nikaondoka kweli baadae alinicheki. Akaniambia anataka tuonane kanimiss sana na wakati huu akawa ananiita mpenzi wake😁😁 nikamwambia tuonane kesho leo nipo bize nimechoka then kesho naingia asubuhi kanibembeleza lakini niligoma.
Ikafika hiyo kesho mida ya usiku akaniambia nirequest bolt hadi kwake, nikamwambia mimi sijisikii kupanda hizo bolt nifate, akanibembeleza nirequest nikagoma, ikabidi anifate.
Akaja mpaka karibu na ofisini, akafika kanipigia nikatokea kwa hapo stendi nikamkuta maana alikuja na pikipiki yake, nikamwambia twende mahali tukapate dinner ndiyo tuondoke, kweli tukaenda hadi bar fulani na ilikuwa weekend, tulivyofika nikala yeye hakunywa chochote alisema alikuwa kalala amekuja kwaajili yangu.
Wakati nimeletewa chakula nakula hapo, mbele yetu ghafla nikamuona x-wangu mwingine tuliyeachana kwasababu flani flani hizi nitaeleza wakati mwingine. Huyu x wangu mwingine alikuwa na rafiki zake nilishtuka, ila nikawa normal tu, yeye sasa nikamuona anawanong"oneza marafiki zake wanageuka wananiangalia, nadhani hakutegemea kama tungekutana. Akaanza kunywa pombe kwa sifa mwishowe ikiabidi wahame meza na marafiki zake, naona hakuwa comfortable kukaa pale.
Huyu x-wangu niliyekuja nae hakuona chochote ndiyo kwanza alikuwa ananilazimisha nile chap tuondoke akanile, nikamaliza kula pale nikamwambia nipeleke nyumbani kwanza sijachukua nguo za kesho,.
Basi akanipeleka mpaka pale stendi aliponiona ile siku ya 1 nikamuacha pale nikamwambia narudi nilivyofika ndani nikamwambia mimi nalala tutaonana siku nyingine, akapiga sikupokea akatuma msg sikujibu. Hakunitafuta tena.
Kuna siku nilikutana nae njiani akanipa lifti, akanikumbushia nilichomfanyia ile siku, mimi nilimcheka sana. Hiyo ndiyo zawadi ya x- anaerudi kupasha kiporo.
Kweli, akampe 'kitumbua cha mama'Mkuu mama anaupiga mwingi na wewe kampe ili kuunga juhudi za mama za kupiga mwingi!
Kwani kafanya kosa gani?Mkiuwawa au kupigwa mnaleta huruma. Acheni umalaya
Kama mwanamke mwenzie umesema hivi mimi Bolotoba ni nani nibisheWe binti huo umalanya wako sijapendezwa nao.
Naomba ubadilike haraka.
Aaah kumbe ni wewe sitokutumia ata 100 dadeki 😊Safi na mimi kuna ex wangu mmoja kajaa kwenye mfumo nataka nimpige pesa kisha nabrock mpaka ukoo wake🏋🏻
Mkuu ndoa lazima kuwe na life plan.Hata mimi aisee hapo ningekukomesha unakimbia ndoa it means huna mpango na mimi
Utatuma tu kumbe hujui ushawishi wa Mwanamke😀😀Aaah kumbe ni wewe sitokutumia ata 100 dadeki 😊