Hii ndiyo Tatu Bora yangu ya Wanachama Bora JF kwa 2022

Watoto wa mwamposa

Hivi muda wa kuchunguza kitu hiki kimeandikwa na Nani huwa mnatoa wapi
Kama wewe ulivyotumia muda wako kusoma bandiko hili, ndivyo hivyo ilivyo kwa upande wetu.
Unaonaje kibanzi kilichomo kwenye jicho la mwenzako ili hali haufikirii boriti lilipo ndani ya jicho lako.
Tuache Unafiki.​
 
Peace be upon you Wana JF

Hakuna kitu kizuri kama kushukuru, kusifu na kukubali karama waliyonayo wenzako. Naongea hili Kwa maana ni tatizo kubwa hapa kwetu nikimaanisha kwenye tasnia mbalimbali kwenye uandishi, michezo, muziki na nyinginezo.

Leo hii ndugu zangu tupo hapa tulipo kutokana na kukosa uwezo kushukuru, kusifu na kukubali kipawa na uwezo wa mtu fulani kwenye elimu, uandishi, uimbaji, uchoraji na fani nyingine.

Ntatoa mifano michache kwa wenzetu walioendelea :-
Kylian Mbappe - Football⚽ hadi viongozi wa France wanamuappreciate kwa kipaji chake na uwezo wake.
Rafael Nadal - Tennis🎾 nyumbani kwao Spain wanamkubali na kumpenda kama tunu ya Taifa.
Shakira - Music🎤 nyumbani kwao Columbia - Bogota ni the same story.
Tyson Fury - Boxing🥊 kwao Uingereza the same story wanamkubali na kumpenda kwenye up's and down's

Lakini ukija kwetu Afrika ni different story mtu akiwa blessed na kipawa fulani akaanza kuonyesha ujuzi wake au fani yake na kuanza kuinuka tunatafuta means yoyote ya kukizima alichonacho. Iwe kazini, maofisini, kwenye siasa, michezo, hata hapa Jukwaani n.k.

Basi Mimi nikaona nisiwe mchoyo wa fadhila bila kushukuru, kusifu, na kukubali vipaji vya uwezo wao wa uandishi na uchanganuaji mambo hapa JF.

1. Da'vinci - amekuwa mmoja kati ya watu ambao wameniinspire sana kwa namna ya uandishi wake na uwezo wake wa kuunganisha kati ya science staff na mambo ya dini (Theology), mbali na hayo ni muhumini mzuri wa Ancient stories, Movies (Sci-fi) pamoja na mambo Saikolojia. Thanks Pal'✌️.
Criston Cole

2. Mshana Jr - Ni brother mmoja very humble, cool, wise and smarter in the brain. Yeye amejikita sana kwenye siasa, jamii issues na spiritual world. Hakika amekuwa msaada kwangu pindi napokumbana na spiritual issues + mambo ya kijamii hakika naipenda sana hekima yake. Thanks mkuu and Almighty God be upon you 🙏.

3. Mr Excel - ni kijana matata niliyesoma bandiko lake kwenye The Story Of Change, likiwa na title ya "Muonekano hutengeneza Uwezekano" na hili ni moja kati ya mabandiko bora kuwai kutokea hapa JF. Asante kwa bandiko zuri na Mungu akubariki sana.

Napenda kuwashukuru pia Wana JF member wote ambao tulidiscuss na kuchanganua mambo mbalimbali kwa namna ya utofauti ambayo yamekuwa very productive kwetu. Napenda kuwatakia heri ya sherehe za krismasi pamoja na mwaka mpya.

Mwenyezi Mungu awabariki sana🙏​

Je, tatu bora yako ni ipi? Funguka usikae nalo moyoni!
Kawapigie kura Sasa JF majukwaa yote yanapendekeza the best of platforms.
 
Peace be upon you Wana JF

Hakuna kitu kizuri kama kushukuru, kusifu na kukubali karama waliyonayo wenzako. Naongea hili Kwa maana ni tatizo kubwa hapa kwetu nikimaanisha kwenye tasnia mbalimbali kwenye uandishi, michezo, muziki na nyinginezo.

Leo hii ndugu zangu tupo hapa tulipo kutokana na kukosa uwezo kushukuru, kusifu na kukubali kipawa na uwezo wa mtu fulani kwenye elimu, uandishi, uimbaji, uchoraji na fani nyingine.

Ntatoa mifano michache kwa wenzetu walioendelea :-
Kylian Mbappe - Football[emoji460] hadi viongozi wa France wanamuappreciate kwa kipaji chake na uwezo wake.
Rafael Nadal - Tennis[emoji462] nyumbani kwao Spain wanamkubali na kumpenda kama tunu ya Taifa.
Shakira - Music[emoji441] nyumbani kwao Columbia - Bogota ni the same story.
Tyson Fury - Boxing[emoji3037] kwao Uingereza the same story wanamkubali na kumpenda kwenye up's and down's

Lakini ukija kwetu Afrika ni different story mtu akiwa blessed na kipawa fulani akaanza kuonyesha ujuzi wake au fani yake na kuanza kuinuka tunatafuta means yoyote ya kukizima alichonacho. Iwe kazini, maofisini, kwenye siasa, michezo, hata hapa Jukwaani n.k.

Basi Mimi nikaona nisiwe mchoyo wa fadhila bila kushukuru, kusifu, na kukubali vipaji vya uwezo wao wa uandishi na uchanganuaji mambo hapa JF.

1. Da'vinci - amekuwa mmoja kati ya watu ambao wameniinspire sana kwa namna ya uandishi wake na uwezo wake wa kuunganisha kati ya science staff na mambo ya dini (Theology), mbali na hayo ni muhumini mzuri wa Ancient stories, Movies (Sci-fi) pamoja na mambo Saikolojia. Thanks Pal'[emoji3577].
Criston Cole

2. Mshana Jr - Ni brother mmoja very humble, cool, wise and smarter in the brain. Yeye amejikita sana kwenye siasa, jamii issues na spiritual world. Hakika amekuwa msaada kwangu pindi napokumbana na spiritual issues + mambo ya kijamii hakika naipenda sana hekima yake. Thanks mkuu and Almighty God be upon you [emoji120].

3. Mr Excel - ni kijana matata niliyesoma bandiko lake kwenye The Story Of Change, likiwa na title ya "Muonekano hutengeneza Uwezekano" na hili ni moja kati ya mabandiko bora kuwai kutokea hapa JF. Asante kwa bandiko zuri na Mungu akubariki sana.

Napenda kuwashukuru pia Wana JF member wote ambao tulidiscuss na kuchanganua mambo mbalimbali kwa namna ya utofauti ambayo yamekuwa very productive kwetu. Napenda kuwatakia heri ya sherehe za krismasi pamoja na mwaka mpya.

Mwenyezi Mungu awabariki sana[emoji120]​

Je, tatu bora yako ni ipi? Funguka usikae nalo moyoni!
Napokea kwa unyenyekevu mkuu...[emoji120][emoji2536]
 
Kuna member alikuwa na jina kama Pidrdy hivi
 
Thanks Pal'✌️.
Criston Cole
Thanks so much Sir for appreciation, Thanks for noticing Criston Cole. I'm so flattered ❤️

Kuna msemo wazungu wanasema kwamba "Never meet your hero" kwamba yule unayemuona ni idol wako anaweza kukudisapoint kutokana na vile ulivyokua na matarajio makuuubwa juu yake...Vile wanavyojipresent idols wetu hua tunadhani ndio wapo Hivyo completely tunasahau kua nao ni wanadamu wana mapungufu yao.

Pal, I'm just a guy, Nobody i might dissapoint you when you get to know me, a no one/nobody me🙄. Hata sina sifa zote hizo it's just I know stuffs & things.
Thanks so much for being that one person who appreciate Criston Cole.
I do hope one day we will cross our path. I wish that 😟
 
Huu uzi unachochea ubaguzi wa wazi, mie nawakubali member wote wa jf, sasa iweje mtu ajinyofolee members 2 au 3 tu na aseme hao ndio bora kwake!?

Huu ni ubaguzi hakika.
 
Samahani kwa kutofautiana kiitikadi.
Lakini pia hata wewe unanafasi ya kuandika member wako waliofanya vizuri kwa upande wako ndani ya mwaka huu 2022.
Nothing else sidhani kama huu ni ubaguzi.
It's okay for your own perspective.
 
Thanks so much Sir for appreciation, Thanks for noticing Criston Cole. I'm so flattered ❤️

Kuna msemo wazungu wanasema kwamba "Never meet your hero" kwamba yule unayemuona ni idol wako anaweza kukudisapoint kutokana na vile ulivyokua na matarajio makuuubwa juu yake...Vile wanavyojipresent idols wetu hua tunadhani ndio wapo Hivyo completely tunasahau kua nao ni wanadamu wana mapungufu yao.

Pal, I'm just a guy, Nobody i might dissapoint you when you get to know me, a no one/nobody me🙄. Hata sina sifa zote hizo it's just I know stuffs & things.
Thanks so much for being that one person who appreciate Criston Cole.
I do hope one day we will cross our path. I wish that 😟
Cheers Pal'.
 
Samahani kwa kutofautiana kiitikadi.
Lakini pia hata wewe unanafasi ya kuandika member wako waliofanya vizuri kwa upande wako ndani ya mwaka huu 2022.
Nothing else sidhani kama huu ni ubaguzi.
It's okay for your own perspective.
Sipendi kubagua kama kondoo na mbuzi, mie nawapenda membazi wote ukiwemo wewe
 
Back
Top Bottom